Hizo ni kanuni duniani kote work permit ni muhimu kabla ya kufanya kazi nchi yoyote ile ya kigeniZulu alikuwa na ITC pamoja na leseni lakini viongozi waliona asicheze kwa kuwa work permit ilikuwa bado.
Bado najiuliza swali hilo hilo. Work permit ya nini Kama mchezaji akiwa na ITC/leseni anaweza kucheza?
Itakuwa kinyume cha sheria za nchi kucheza kwa maana kufanya kazi bila kibali husika.
Ni kosa kubwa kwani hata kina pogba ilibidi wapate work permit ya uk ili waweze kucheza mu.Kuna watu wanajifariji eti maadam kuna ITC na leseni ya TFF basi
Jana nilimsikia msemaji wao akidai kuwa cha muhimu kwao ni kwamba wanayo ITC na leseni za wachezaji hao lakini alisahau kwamba ili wapate vibali vya kazi ni shuruti wachezaji hao wawe ni vitu hivyo 2.Ni kosa kubwa kwani hata kina pogba ilibidi wapate work permit ya uk ili waweze kucheza mu.
Bongo hakuna soka la kulipwa!Kuna watu hawataki kukubali ukweli huo. Hay yamempata Farid was Azam kuichezea Tenerrife ya Spain!
Alipata kila kitu kasoro work permit!
Wewe wacha uongo. Unafikiri wote hapa wajinga kama wewe.Pogba ametoka Ufaransa ambao wapo EU,hahitaji work permit. Hili suala la work permit kwa wachezaji wanaocheza UK ni wale ambao Nchi zao hazipo kwenye EU na kwenye FIFA rankings wapo chini ya nafasi 75 au hajawakilisha Nchi yake kwenye timu ya Taifa.Ni kosa kubwa kwani hata kina pogba ilibidi wapate work permit ya uk ili waweze kucheza mu.
Acha mambo ya matamko weka sheria ya TFF tuone hicho kifungu.
Kumbe work permit zina kazi gain?Hizo pointi mtaishia kuzitamani tu! Chezeni mpira aisee! Hakuna kanuni ya kimpira iliyovunjwa, labda uhamiaji wawakamate wawatupe lupango kama wahamiaji haramu! Mpira wa Tanzania ni ridhaa, haujarasmishwa kuwa wa kulipwa kama hao mnaowafananisha!
The point ambayo amplify ni kwamba huwezi kucheza bila ya work permit unless kuna special treaty kati ya nchi involved.Wewe wacha uongo. Unafikiri wote hapa wajinga kama wewe.Pogba ametoka Ufaransa ambao wapo EU,hahitaji work permit. Hili suala la work permit kwa wachezaji wanaocheza UK ni wale ambao Nchi zao hazipo kwenye EU na kwenye FIFA rankings wapo chini ya nafasi 75 au hajawakilisha Nchi yake kwenye timu ya Taifa.
Unaweza kupata leseni na permit ikafuata.Na katika kuongezea una sign mkataba kutegemeana na kupatikana kwa work permit. Huwezi ukatoa leseni halafu ndio udai work permit.
mbona povu linakutoka hivyoSheria na kanuni vichukue mkondo wake. Hakuna namna nyingine
Hebu tutajie kanuni iliyovunjwa ya TFF. TFF wanatoaje leseni bila work permit ikiwa kanuni ni hiyo mnayodai?Ukishatoa leseni ni kwamba mchezaji anaruhusiwa kucheza. Sheria za kusimamia mpira zinaongozwa na kanuni sio matamko.The point ambayo amplify ni kwamba huwezi kucheza bila ya work permit unless kuna special treaty kati ya nchi involved.
Hizo kanuni unazodai zimeanza msimu huu?Kwenye kanuni zilizopo na zilizopita hakuna kipengele kinachosema kwamba mchezaji sio halali mpaka apate work permit. Nakupa homework ya kutafuta hiyo kanuni. Wachezaji hao kwa sheria za TFF hawajavunja kanuni yeyote.Unaweza kupata leseni na permit ikafuata.
Napenda kuamini kwamba leseni na ITC ni vitu vinavyohitajika kupata work permit na sio kinyume chake!
Walipeni mshahara wao basi ila hapokwi mtu hapaLako hulioni ?
Adui muombee njaa. Point ziende kwa wanakuchele. Nadhani sasa umeelewa na ufahamu umerudi!
Yes, common sense is not so common! Ni hapo panaponisumbua.Muwe mnajifunza Sheria na Kanuni za Michezo ambazo zipo chini ya TFF na msitake kuyaleta ya Uingereza au huko Ulaya hapa Tanzania. Kanuni za TFF ili mchezaji wa Kigeni acheze mechi ya VPL ni mpaka awe na ITC tu na haisemi kuhusu Vibali vya kufanya Kazi hapa nchini kwani hiyo ni Kazi ya UHAMIAJI na siyo TFF na hata kama Klabu ya Simba itakutwa na hatia na UHAMIAJI ya kuwachezesha akina Daniel Agyei na James Kotei wote kutoka nchini Ghana bila kupatiwa working permit bado haitapokwa points zozote. Tuwe tunajikita sana katika kuzifuatilia Sheria na Kanuni za TFF ili siku nyingine tusije kuwa Watupu hivi kwa jambo jepesi tu kama hili.