Simba kusanyeni ushahidi huu kuupinga ubingwa wa Barkane CAF na CAS:

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!!
Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili.

mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa.

1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa kucheza wakati sheria haipo hivyo...kulikuwa na mpango mkakati wa kiongozi mmoja wa morocco ambaye ni makamu wa kwanza wa rais wa CAF.

2.Faulu za uwongo walizo kuwa wanapewa barkane na Refa...mfano camara kupigwa kipepsi na mchezaji wa Barkane ila ikaamriwa iwe kona na fauli zingine kama 4
3.Kadi nyekundu batili, aliepewe kagoma ili kuivuruga Simba ,kuipuguzia nguvu na kuwaadhiri kisaikolojia.
4.Kadi nyekundu alipewe kiongozi wa betch la ufundu ili kuwaziba mdomo viongozi wa Simba wasikemee ushetani ule uwanjani
5.Goli halali la Mkwala iliyokataliwa na Refa kwa makusudi na kwa maslahi ya warabu..pia ilishusha na kuwapunguzia wachezaji moral na kuwavunja moyo nakuona hakuna umuhimu wa kupambana.
6.Penati halali aliyonyimwa Simba baada ya Kapombe kufanyiwa madhambi kwenye eneo la penati.
7.Tukio la kukutwa refa na waamuzi wa mchezo na viongozi wa club ya barkane wakipongezana..ni ishara ya kuwa na njama ovu dhidi ya club ya Simba
 
Hapo vip!!
Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili.

mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa.

1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa kucheza wakati sheria haipo hivyo...kulikuwa na mpango mkakati wa kiongozi mmoja wa morocco ambaye ni makamu wa kwanza wa rais wa CAF.

2.Faulu za uwongo walizo kuwa wanapewa barkane na Refa...mfano camara kupigwa kipepsi na mcheza wa Barkane ila ikaauriwa iwe kona na fauli zingine kama 4
3.Kadi nyekundu batili, aliepewe kagoma ili kuivuruga Simba ,kuipuguzia nguvu na kuwaadhiri kisaikolojia.
4.Kadi nyekundu alipewe kiongozi wa batch la ufundu ili kuwaziba mdomo viongozi wa Simba wasikemee ushetani ule uwanjani

KOLO KICHAA
 
😀😀😀 sio poa benchi la ufundu tena...andikaga pole pole
 
Rudi shule kwanza ujifunze kuandika haraka ya nin si utaanzisha tu uzi siku ukifahamu kuandika..
 
Back
Top Bottom