Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
- Thread starter
- #21
Acha kushabikia uchafu..tafuta timuRudi shule kwanza ujifunze kuandika haraka ya nin si utaanzisha tu uzi siku ukifahamu kuandika..

kaogopa kuungana na mbumbumbuRage aliamua kutokanyaga kabisa kule Zanzibar sijajua kwa nn!?
Acha kushabikia uchafu tafuta timu..timu unayoshabikia haijawahi ingia top 10 Za CAF tokea dunia kuubwa....inalaana .kaogopa kuungana na mbumbumbu
Una ushabiki wa kipumbavu sana we dogo, inamaana lile lilikuwa goli halali? Hivi unafikiri mpira ukiangalia peke yako?5.Goli halali la Mkwala iliyokataliwa na Refa kwa makusudi na kwa maslahi ya warabu..pia ilishusha na kuwapunguzia wachezaji moral na kuwavunja moyo nakuona hakuna umuhimu wa kupambana.
Acha kushabikia uchafu..tafuta timuUna ushabiki wa kipumbavu sana we dogo, inamaana lile lilikuwa goli halali? Hivi unafikiri mpira ukiangalia peke yako?
Mzeebaba nimezungumzia goli, unafikiri mtu akisema lile halikuwa goli sahihi atakuwa ni shabiki wa timu gani!? Ukiwa shabiki sana utajikuta hata ukweli kuhusu timu yako utakuwa huutaki.Acha kushabikia uchafu..tafuta timu
Simba sio watu wa CAS hayo mambo ni ya nyuma mwiko!Hapo vip!!
Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili.
mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa.
1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa kucheza wakati sheria haipo hivyo...kulikuwa na mpango mkakati wa kiongozi mmoja wa morocco ambaye ni makamu wa kwanza wa rais wa CAF.
2.Faulu za uwongo walizo kuwa wanapewa barkane na Refa...mfano camara kupigwa kipepsi na mchezaji wa Barkane ila ikaamriwa iwe kona na fauli zingine kama 4
3.Kadi nyekundu batili, aliepewe kagoma ili kuivuruga Simba ,kuipuguzia nguvu na kuwaadhiri kisaikolojia.
4.Kadi nyekundu alipewe kiongozi wa betch la ufundu ili kuwaziba mdomo viongozi wa Simba wasikemee ushetani ule uwanjani
5.Goli halali la Mkwala iliyokataliwa na Refa kwa makusudi na kwa maslahi ya warabu..pia ilishusha na kuwapunguzia wachezaji moral na kuwavunja moyo nakuona hakuna umuhimu wa kupambana.
6.Penati halali aliyonyimwa Simba baada ya Kapombe kufanyiwa madhambi kwenye eneo la penati.
7.Tukio la kukutwa refa na waamuzi wa mchezo na viongozi wa club ya barkane wakipongezana..ni ishara ya kuwa na njama ovu dhidi ya club ya Simba
Ni goli la halali nenda kwenye VAR..sitaki mabishano ya uswahiliMzeebaba nimezungumzia goli, unafikiri mtu akisema lile halikuwa goli sahihi atakuwa ni shabiki wa timu gani!? Ukiwa shabiki sana utajikuta hata ukweli kuhusu timu yako utakuwa huutaki.
Niende VAR ipi wakati waliokuwepo VAR ndo waliangalia na kusema si goli? Au we una VAR yako?Ni goli la halali nenda kwenye VAR..sitaki mabishano ya uswahili
Rage ndio mbumbumbu hana akiliView attachment 3347717➡️➡️➡️ Matokeo huwa hayabadilishwi. Gangeni yajayo. Na safari nyingine muache Camara apigwe tu kama anazingua. Kamdomooooooo! 🤐🤐🤐🤐🤐
Rage ndie yule Mzee aliewaita Simba MBUMBU SC?Rage aliamua kutokanyaga kabisa kule Zanzibar sijajua kwa nn!?
Elimu, elimu, elimu ( RIP, LOWASA)Hapo vip!!
Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili.
mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa.
1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa kucheza wakati sheria haipo hivyo...kulikuwa na mpango mkakati wa kiongozi mmoja wa morocco ambaye ni makamu wa kwanza wa rais wa CAF.
2.Faulu za uwongo walizo kuwa wanapewa barkane na Refa...mfano camara kupigwa kipepsi na mchezaji wa Barkane ila ikaamriwa iwe kona na fauli zingine kama 4
3.Kadi nyekundu batili, aliepewe kagoma ili kuivuruga Simba ,kuipuguzia nguvu na kuwaadhiri kisaikolojia.
4.Kadi nyekundu alipewe kiongozi wa betch la ufundu ili kuwaziba mdomo viongozi wa Simba wasikemee ushetani ule uwanjani
5.Goli halali la Mkwala iliyokataliwa na Refa kwa makusudi na kwa maslahi ya warabu..pia ilishusha na kuwapunguzia wachezaji moral na kuwavunja moyo nakuona hakuna umuhimu wa kupambana.
6.Penati halali aliyonyimwa Simba baada ya Kapombe kufanyiwa madhambi kwenye eneo la penati.
7.Tukio la kukutwa refa na waamuzi wa mchezo na viongozi wa club ya barkane wakipongezana..ni ishara ya kuwa na njama ovu dhidi ya club ya Simba
eeeh,hata kama haipo top 10 mimi na singida BS tu mpk last,kwani lazima wote tuwe makolo?Acha kushabikia uchafu tafuta timu..timu unayoshabikia haijawahi ingia top 10 Za CAF tokea dunia kuubwa....inalaana .
England inabidi wakate rufaa Argentina wanyang'anywe ubingwa wa dunia 1986 kwa sababu ya goli la mkono la Maradona(RIP)!Hapo vip!!