Simba kusanyeni ushahidi huu kuupinga ubingwa wa Barkane CAF na CAS:

5.Goli halali la Mkwala iliyokataliwa na Refa kwa makusudi na kwa maslahi ya warabu..pia ilishusha na kuwapunguzia wachezaji moral na kuwavunja moyo nakuona hakuna umuhimu wa kupambana.
Una ushabiki wa kipumbavu sana we dogo, inamaana lile lilikuwa goli halali? Hivi unafikiri mpira ukiangalia peke yako?
 
Acha kushabikia uchafu..tafuta timu
Mzeebaba nimezungumzia goli, unafikiri mtu akisema lile halikuwa goli sahihi atakuwa ni shabiki wa timu gani!? Ukiwa shabiki sana utajikuta hata ukweli kuhusu timu yako utakuwa huutaki.
 
Simba sio watu wa CAS hayo mambo ni ya nyuma mwiko!
 
Mzeebaba nimezungumzia goli, unafikiri mtu akisema lile halikuwa goli sahihi atakuwa ni shabiki wa timu gani!? Ukiwa shabiki sana utajikuta hata ukweli kuhusu timu yako utakuwa huutaki.
Ni goli la halali nenda kwenye VAR..sitaki mabishano ya uswahili
 
Hiyo hoja ya mwisho.. naskia ipo VIDEO.. naombeni jamani..
 
Your browser is not able to display this video.


➡️➡️➡️ Matokeo huwa hayabadilishwi. Gangeni yajayo. Na safari nyingine muache Camara apigwe tu kama anazingua. Kamdomooooooo! 🤐🤐🤐🤐🤐
 
Elimu, elimu, elimu ( RIP, LOWASA)
 
Acha kushabikia uchafu tafuta timu..timu unayoshabikia haijawahi ingia top 10 Za CAF tokea dunia kuubwa....inalaana .
eeeh,hata kama haipo top 10 mimi na singida BS tu mpk last,kwani lazima wote tuwe makolo?
 
England inabidi wakate rufaa Argentina wanyang'anywe ubingwa wa dunia 1986 kwa sababu ya goli la mkono la Maradona(RIP)!
Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…