Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli mbili, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana.

Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni Okajepher,Mzamiru,Ngoma na Debora,ambao ni wazuri dk15 tu za kwanza.

Huku walinzi wake wa pembeni wanapitika kirahsi. Nimemaliza.
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
unasikitisha sana mkuu.
 
uzi unatunzwa, simba wasipofungwa hizo goli tatu basi nitaumbuka kama mhasibu wenu wa mchongo OKWI BOBAN SUNZU
Kuweka rekodi sawa, umesema Simba itafungwa si chini ya goli tatu (ingawa umeandika 'gori', ni wale wale tu)

Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya gori tatu,
 
Back
Top Bottom