Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

Utopolo a.k.a chura. Wao kushinda Algeria itakuwa ndoto ya usiku. licha kuwa walipokocholewa na Al hilal nyumbani
 
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli tatu, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana.

Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni Okajepher,Mzamiru,Ngoma na Debora,ambao ni wazuri dk15 tu za kwanza.

Huku walinzi wake wa pembeni wanapitika kirahsi. Nimemaliza.
Sawa. Ila LAZIMA uujue ukweli kwamba Simba ipo Algeria ili kuiondolea aibu Tanzania itakayoletwa na Yanga kufungwa leo!
 
FB_IMG_17335423245224450.jpg
 
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli tatu, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana.

Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni Okajepher,Mzamiru,Ngoma na Debora,ambao ni wazuri dk15 tu za kwanza.

Huku walinzi wake wa pembeni wanapitika kirahsi. Nimemaliza.
Wanakalia 2+
 
Back
Top Bottom