Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

E bwana eeh!!

Home wamepigwa ila wanaamini Algeria watashinda.
Halafu wanajifariji eeett oohh hata mwaka Jana tulifungwa lakini tukaingia robo. Ndio ulifungwa lakini wapi!?, mlikuwa ugenini, sasa safari hii mmepigwa nyumbani halafu mnaenda ugenini,
wee huogopi mwananchi😂
 
Kwani aliyefungwa goli 2 nyumbani mbona hukuchambua kiimani.Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako.
uimara wa kikosi cha costantine na udhaifu wa kikosi cha simba kimenifanya nione simba hafurukuti,na imani yangu ni kuwa simba kushnda ugenini huwa ni ngumu sana.
 
uimara wa kikosi cha costantine na udhaifu wa kikosi cha simba kimenifanya nione simba hafurukuti,na imani yangu ni kuwa simba kushnda ugenini huwa ni ngumu.
Simba umuhimu wa kushinda ni kwa mkapa sio ugenini.
 
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli tatu, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana. Kama tunavyojua simba ina washambuliaji butu anza na steven dese mukwala na lionel ateba huku viungo wao tegemezi ni okajepher,mzamiru,ngoma na debora,ambao ni wazuri dk15 tu za kwanza. Huku walinzi wake wa pembeni wanapitika kirahsi. Nimemaliza.
Watapigwa kama ngoma Losers Cup ndo tutaheshimiana.
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Mbona umesahau,uchawa mkuu
 
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli tatu, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana. Kama tunavyojua simba ina washambuliaji butu anza na steven dese mukwala na lionel ateba huku viungo wao tegemezi ni okajepher,mzamiru,ngoma na debora,ambao ni wazuri dk15 tu za kwanza. Huku walinzi wake wa pembeni wanapitika kirahsi. Nimemaliza.
Wapo wawili tu kule hatushangai
 
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli tatu, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana.

Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni Okajepher,Mzamiru,Ngoma na Debora,ambao ni wazuri dk15 tu za kwanza.

Huku walinzi wake wa pembeni wanapitika kirahsi. Nimemaliza.
Mshambuliaji wako ana goli ngapi
 
Back
Top Bottom