unasikitisha sana mkuu.BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Hujamaliza, maana haujasema wasipofungwa goli tatu ufanywe kitu gani na wapi.Nimemaliza.
Kuumbuka hakutoshi, ahidi kutoa Yasuzi unatunzwa, simba wasipofungwa hizo goli tatu basi nitaumbuka kama mhasibu wenu wa mchongo OKWI BOBAN SUNZU
Kuweka rekodi sawa, umesema Simba itafungwa si chini ya goli tatu (ingawa umeandika 'gori', ni wale wale tu)uzi unatunzwa, simba wasipofungwa hizo goli tatu basi nitaumbuka kama mhasibu wenu wa mchongo OKWI BOBAN SUNZU
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya gori tatu,
Ee atoe ahadi kama mnyama asipofungwa goli hizo anatoa zawadi gani iliyopo mwilini mwake kule ambako kuna mwiko.Hujamaliza, maana haujasema wasipofungwa goli tatu ufanywe kitu gani na wapi.
E bwana eeh!!Kwani aliyefungwa goli 2 nyumbani mbona hukuchambua kiimani.Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako.