Uko sahihi mkuu.wale wapenzi, wanachama na mashabiki wa simba Leo hii tunatangaza ubingwa tukiwa tumekaa kwenye makochi ..
kwani yanga lazima afungwe au atoe draw na Prison...
na hivyo hawezi kufikisha points 65 alizo nazo Simba leo....
#Ubingwa_wa_,$imba_,upo_Mbeya_sio_,Singida..
nimeweka kumbu kumbu sawa tu...
Hadi 2030
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Emmanuel Martin
4. Abdallah Shaibu
5. Pato Ngonyani
6. Maka Edward
7. Paul Godfrey
8. Thaban Kamusoko
9. Yohana Mkomola
10. Matheo Anthony
11. Baruan Akilimali
Kikosi cha akiba
12. Yusuph Suleiman
13. Amis Tambwe
Duh waaakiba wawili.
Hakuna kipa wa Akiba
Baada ya mechi kwisha nategemea Uongozi wa Yanga kutangaza kujiuzuru tu.
Nilikuwa nashangaa kwa nini kila mtu kakomaa na mechi ya singida tu, hii ya yanga akifungwa au kudroo ndio kazi imeishia hapo.wale wapenzi, wanachama na mashabiki wa simba Leo hii tunatangaza ubingwa tukiwa tumekaa kwenye makochi ..
kwani yanga lazima afungwe au atoe draw na Prison...
na hivyo hawezi kufikisha points 65 alizo nazo Simba leo....
#Ubingwa_wa_,$imba_,upo_Mbeya_sio_,Singida..
nimeweka kumbu kumbu sawa tu...
Hadi 2030
Yanga mnajikuna kuna saana[emoji23][emoji23]Simba mnawashwawashwa sana
Kuna wanao jifunza Kiswahili kupitia JF, si vibaya nikiweka sawa,... ni ARI na siyo. HARI.Wachezaji wanazidi kugoma kucheza maskini kisa mafao yao wakiendelea hivi ata match inayofata ya shirikisho watafungwa nyumbani maana wachezaji hawana hari wala hamasa ya mchezo, hawa wanaocheza leo ni wale ambao hawachezi mara kwa mara hivo ata madai yao ni madogo