OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu ebu weka kama unaweza tulichopata toka tunaanza mechi ya kwanza mpaka sasa ni madolari kiasi gani tuone tunawasaidia vipi wale omba omba!Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000
Champions: US$ 2.5 million
Runners-up: US$ 1.25 million
Semi-finalists: US$ 800,000
Quarter-finalists: US$ 650,000
3rd in group stage: US$ 550,000
4th in group stage: US$ 550,000
Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?
Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Natamani tupewe mamelod au horoya, hawa tunawamudu vizuri sana.Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000
Champions: US$ 2.5 million
Runners-up: US$ 1.25 million
Semi-finalists: US$ 800,000
Quarter-finalists: US$ 650,000
3rd in group stage: US$ 550,000
4th in group stage: US$ 550,000
Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?
Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Nyie jamaa mna roho ngumu sana.
Hakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatariNatamani tupewe mamelod au horoya, hawa tunawamudu vizuri sana.
Mna roho za paka?
Hakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatari
Hawa wawili kwa kweli hata mie siwataki.Hakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatari
Kweli mkuu wakipangiwa Wydad au Costantine itakuwa zaidi ya ugaidiMimi ni Yanga, lakini walipofikia Simba inabidi tuwapongeze....Wana kamati nzuri ya ushindi, inayofanya kazi kwa weledi...Nadhani kamati yao ina dhamira ya kweli kuhakikisha Simba inashinda...Hii ni tofauti na kamati za Yanga ambazo hujazwa watu wenye midomo, majivuno na sifa...Ndiyo maana kwa Yanga wanaoteuliwa kuna wengine hujitoa haraka kwenye kamati hizo kwa kuwa kuna umimi mwingi...nawapongeza Simba kwa kweli....lakini nawapa tahadhari, kwani nafahamu fika kinachofanyika, wawe makini na baadhi ya mbinu chafu kwani ipo siku zitagundulika na kuwa fedheha siyo kwa Simba tu bali hata kwa nchi...kila la kheri Simba...ombeeni mpangiwe Mamelodi Sundowns kwani kwa maoni yangu ndiyo ambayo ni afadhali ...na Simba waombee mchezo wa kwanza uwe ugenini...
hahahaha!
!
Mungu Akupe Lipuli