Simba kutinga robo fainali tunakunja Bilioni 1.56 kiroho saaafi

Simba kutinga robo fainali tunakunja Bilioni 1.56 kiroho saaafi

Mwaka wa Simba kula hela za CAF ili hapo tusipangwe tu na hao waarabu wa kaskazini au mazembe bora huko bondeni
timu tunazoweza kupangwa nazo ni TP mazembe E.S.T ya tunisia ama Mamelodi ya South afica maana wote hao ni vinara wa makundi yao
 
Tunaenda kupata aibu nyingine,itakuwa zaidi ya hamsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kameze wembe Uchungu unaokusumbua peleka leba ukajifungue.
Unaacha kuishangilia timu yako na wanapaluhengo unaishahadia Simba.
Binti mdogo kaolewa Iringa na binti mkubwa kaolewa kwa Mkapa na harusi zote zimejibu.
Vigelegele vinaendelea.
Ohh hawaingii makundi mara tayari
Ohh watakuwa wa mwisho
Mara wametinga robo fainali
Doomsayers hawachoki wala hawana chembe chembe za aibu.
Eti "tunakwenda" unakwenda na nani wewe mlugaluga. Chura hayupo kwenye mashindano.
Au mume katakata mnajirudisha taratibu?
 
Huu ndio mchanganuo wa prizes mpya za CAF kuanzia 2017-2020 kwa CAF Champions. Baada ya kukunja mabilioni kwenye hatua ya makundi,sasa Mnyama wenu tumekunja tena USD 650,000 sawa na takribani TZS. 1,560,000,000

Champions: US$ 2.5 million

Runners-up: US$ 1.25 million

Semi-finalists: US$ 800,000

Quarter-finalists: US$ 650,000

3rd in group stage: US$ 550,000

4th in group stage: US$ 550,000

Mungu atupe nini tena? Au robo tupewe Mamelod Sundown tukakunje Bilion 2 kasoro za nusu Fainali?

Source Prize money for CAF competitions effective 2017
Na wewe kwenye mgao unahusika?
 
Wanachukua mashabiki wa simba
Wewe kweli POPOMA. Yeyote mwanasimba atakayenunua hisa pesa hizi zinamhusu kwani ni mojawapo ya mapato. Au hujui hisa ni nini?
 
simba zikija kwa timu ya simba ni zimekuja Tanzania maana wakizitumia hapa kwetu nasie wafanyabiashara tunanufaika wakuu, pia wengine ni wenetu tunapata japo hela ya kununulia wadogo zao daftari, nayo ni faida wakuu
 
Wewe kweli POPOMA. Yeyote mwanasimba atakayenunua hisa pesa hizi zinamhusu kwani ni mojawapo ya mapato. Au hujui hisa ni nini?
Popoma baba yako mbona huelewi wa chizi fresh nimekwambia wanachukua mashabiki wa simba unaandika nini sasa hapo
 
Popoma baba yako mbona huelewi wa chizi fresh nimekwambia wanachukua mashabiki wa simba unaandika nini sasa hapo
Uchungu wa wanapaluhengo na Vita peleka leba.
 
Back
Top Bottom