Simba kutinga robo fainali tunakunja Bilioni 1.56 kiroho saaafi

Simba kutinga robo fainali tunakunja Bilioni 1.56 kiroho saaafi

Simba itakutana na timu moja wapo Kati ya hizi
1.Wydad Casablanca
2.Esperance
3.TP Mazembe

Na Simba tutaanzia Nyumbani Kwan waliomaliza wakwanza wanakua na Advantage ya kumalizia nyumbani

Hizo timu tatu hapo juu ndo zimemaliza wakwanza kwenye makundi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waajanja kamà akina aveva & kaburu ndo watakula hizo pesa nyie pigen ķelele
Acha mawazo mgando izo mambo nizakizaman sasa iv mfumo wa uendeshaji wa simba usilinganishe na omba omba na ndio maana kila siku simba inapiga hatua kama bado unamawazo ya namna hii bc yanga yenu itapata tabu kupiga hauta kusonga mbele
 
Upigaji unaenda na mfumo wowote tu ilimradi pesa iwepo
 
Back
Top Bottom