Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Waajanja kamà akina aveva & kaburu ndo watakula hizo pesa nyie pigen ķeleleZilikwenda zinapokwenda hela za michango ya bakuli za Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waajanja kamà akina aveva & kaburu ndo watakula hizo pesa nyie pigen ķeleleZilikwenda zinapokwenda hela za michango ya bakuli za Yanga.
Hahahhahaaa! Unagombanisha watu wa Yanga na Lipuli!
!
Mungu Akupe Lipuli
Hahahhahaaa! Unagombanisha watu wa Yanga na Lipuli
We jamaa wewe kuna watu utawafanya wachungulie tu na kisha kurudi kwenye mabwawa walimojificha.
Au Lipuli.Kweli mkuu wakipangiwa Wydad au Costantine itakuwa zaidi ya ugaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu eti Simba imefuzu ?!... si walisema ni underdogWaajanja kamà akina aveva & kaburu ndo watakula hizo pesa nyie pigen ķelele
Simba atakutana na hawa watatu kati take TP MAZEMBE, ESPERANCE AU WYDAD CASABLANCAHakika mkuu,hawa wetu. Shida ipo kwa Mazembe na mwenzie Esperance wale ni hatari
Aveva na kaburu wanaingiaje simba? Ebu update hiyo processor yako.Waajanja kamà akina aveva & kaburu ndo watakula hizo pesa nyie pigen ķelele
Duh! Hapa hamna wa afadhali, labda hao ndugu wa Raja ila si ndio mabingwa wa CAF comfederatio hawa! Sasa ndoto ya Mo na Simba imetimia. Kupambana na the best teams za Afrika.Simba atakutana na hawa watatu kati take TP MAZEMBE, ESPERANCE AU WYDAD CASABLANCA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Yanga hao Mazembe wa kuwapa Simba mmewapata wapi? Au nyie ndio mnapanga hizi mechi?Tutawapa TP Mazembe
Yaani hawa Vyura wanaviherehere sana, yaani timu 5 zote walizosema tunatia zahma wote tumewafunga bado wanatuombea mabaya tuNyie jamaa mna roho ngumu sana.
Simba ili tufanikiwe tunahitaji marafiki zetu kina Azam ila ili tufanikiwe zaidi tunahitaji watani zetu kama Yanga. Na sasa njia ni juu tu.
Hao Horoya wenyewe sio Poa ila wana nafuu ukilinganisha na hao wengineNatamani tupewe mamelod au horoya, hawa tunawamudu vizuri sana.
Ulipa aibu lin tena or una wewe seka
Achana na hao vyura hawana pakushika kila sehem pamoto tu mkuuKwa ujinga wako unafikiri pesa anachukua Mo???
Acha mawazo mgando izo mambo nizakizaman sasa iv mfumo wa uendeshaji wa simba usilinganishe na omba omba na ndio maana kila siku simba inapiga hatua kama bado unamawazo ya namna hii bc yanga yenu itapata tabu kupiga hauta kusonga mbeleWaajanja kamà akina aveva & kaburu ndo watakula hizo pesa nyie pigen ķelele
Simba walinunua mechi zao zote kuanzia TPL hadi klabu bingwa. Yanga sijui wanakwama wapi! 😂🔫!
!
Hahahahaha Lipuli Buana
Sasa iv inabidi tuwanunue na mashabiki waoSimba walinunua mechi zao zote kuanzia TPL hadi klabu bingwa. Yanga sijui wanakwama wapi! [emoji23][emoji379]
Kabisa. Kama wanaweza kubadili hadi "dini " basi inwezekana kuwalipa sahani za ubwabwa wakahama timu yao for good!
Upigaji unaenda na mfumo wowote tu ilimradi pesa iwepoAcha mawazo mgando izo mambo nizakizaman sasa iv mfumo wa uendeshaji wa simba usilinganishe na omba omba na ndio maana kila siku simba inapiga hatua kama bado unamawazo ya namna hii bc yanga yenu itapata tabu kupiga hauta kusonga mbele