Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
KWA MAKASHA YA YANGA MUELEWE HIVI.
Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
Hamna hela ninyiSasa tununue quality players.
Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba
Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka
Sakho, banda utoto umewajaa
Chama anaumwa?
Na mimi nilikuwa na mawazo kama yako, kwamba kocha yupo sawa ila kwa leo hata kocha pia nae hatufai, tena sio kocha tu bali benchi nzima litupishe kwanza.kocha hana tatizo tatizo ni wachezaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaweza kua alikuwepo kweli Real Madrid, lakini kama nani? Ukute mfua soksi za wachezaji tu
Kanoute, Banda, Sakho, wabaki hawa wengine wafurushweeee woteee.Sasa tununue quality players.
Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba
Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka
Sakho, banda utoto umewajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweza kua alikuwepo kweli Real Madrid, lakini kama nani? Ukute mfua soksi za wachezaji tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Though ni maoni yako na siwezi kukupinga ila binafsi yangu naona tatizo kubwa kwa wachezaji
Wachezaji wanatoa pasi kwa timu pinzani na sometimes wanakuwa selfish wenyewe kwa wenyewe, kila mtu anataka aonekane star kwenye mechi muhimu
Mugalu ma big ji, kibu marasta, sakho na vibaiskeli vyake ambavyo kwa uzembe kabisa vimemfanya mpaka nisahau mara ya mwisho kufunga ilikuwa lini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mataka taka.Ishu sio kusajili wachezaji quality, ishu ni viongozi wanaohusika na usajili waache tamaa na kumpiga Mo changa la macho.
Mo anatoa bilioni 1 ya usajili, wanasajiliwa wachezaji wa milioni 500 ambao ni matakata, mia 5 inayobaki viongozi wanaifinya.
Bwalya atoke tyuuh, kwanza sitaki hata kumuona, yaani akiungiaga yeye hata mood inakata. Ananiboa kisenge mnoooBwalya bado mzima, anakosa wa kucheza nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo inauma, ila ndo ukweli.kwa wachezaji wakitanzania tulionao nchini hatuna budi kuwavumilia kina kibu,bocco na mzamiru hasa ukizingatia na international experience wameshaanza kugain wakiwa na simba,ila kwa international players wachezaji wenye hadhi yakucheza simba pale kwasasa ni inonga,chama na morrison,hao wengine wote waonyeshwe mlango wakutokea...hata onyango wasimpe mkataba mpya tunahitaji new faces with quality...hawa akina banda,sakho hakuna hata mmoja hapo anafikia quality ya morrison watupishe wote...kanoute injury kila mara na hana consistency atupishe kwanza....simba ni brand kubwa africa tunahitaji quality players
Watapinga ila ukweli ndo huu.Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
Mmiliki au Tajiri mwenye timu akizungumza hivyo...!!Mbona Katoa pongezi Kiuanamichezo kbs, Wapi alipoWaka..?
Hlf katoa Maoni yake Kwamba bodi ya timu inahitaji kufanya maamuzi magumu yatakayo husisha Ukarabati Mkubwa..! Hivyo tu.
Huu ni Uungwana kbs,
Morisson na Chama hawana nidhamuKocha ni mpuuzi sana asipoondolewa hali itakuwa mbaya zaidi.
Anachelewa kufanya sub siku zote.Banda yuko wapi leo?
Wachezaji ndio hao akina Morrison na Chama hawataki.Utamletea wengine atawakataa...sasa huu si upumbavu
Kwani Yanga Haijawahi Kushinda Na Manula Wenu Akiwepo?, Shuti La Chini Chini Tu La Mayele Kwenye Ngao Ya Jamii Kashindwa Kuliona Angeweza Kupangua Lile Kombora Fei? Em Fanya Rejea Ukaangalie Goli Alilofungwa Na Balama Mapinduzi Kwanza Tar 4/01/2020.Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
Mlipeni Chama hela zake uone kama hatokuwa na nidhamuMorisson na Chama hawana nidhamu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tumlipe Mimi na nani sasa?Mlipeni Chama hela zake uone kama hatokuwa na nidhamu