Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Sasa kama Yanga hana ubora mbona hako kagoli kamoja hujarudisha mtani? Na kuhusu Manula usisahau hayo ndio aina ya magoli anayofungwa sana. Kumbuka kombora la Mapinduzi Balamaaaaa
Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
 
Sasa tununue quality players.

Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba

Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka

Sakho, banda utoto umewajaa
Hamna hela ninyi
 
kocha hana tatizo tatizo ni wachezaji
Na mimi nilikuwa na mawazo kama yako, kwamba kocha yupo sawa ila kwa leo hata kocha pia nae hatufai, tena sio kocha tu bali benchi nzima litupishe kwanza.
 
Anaweza kua alikuwepo kweli Real Madrid, lakini kama nani? Ukute mfua soksi za wachezaji tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa tununue quality players.

Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba

Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka

Sakho, banda utoto umewajaa
Kanoute, Banda, Sakho, wabaki hawa wengine wafurushweeee woteee.
Tuanze kikosi kipyaa.
 
Though ni maoni yako na siwezi kukupinga ila binafsi yangu naona tatizo kubwa kwa wachezaji

Wachezaji wanatoa pasi kwa timu pinzani na sometimes wanakuwa selfish wenyewe kwa wenyewe, kila mtu anataka aonekane star kwenye mechi muhimu

Mugalu ma big ji, kibu marasta, sakho na vibaiskeli vyake ambavyo kwa uzembe kabisa vimemfanya mpaka nisahau mara ya mwisho kufunga ilikuwa lini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ishu sio kusajili wachezaji quality, ishu ni viongozi wanaohusika na usajili waache tamaa na kumpiga Mo changa la macho.

Mo anatoa bilioni 1 ya usajili, wanasajiliwa wachezaji wa milioni 500 ambao ni matakata, mia 5 inayobaki viongozi wanaifinya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mataka taka.
 
kwa wachezaji wakitanzania tulionao nchini hatuna budi kuwavumilia kina kibu,bocco na mzamiru hasa ukizingatia na international experience wameshaanza kugain wakiwa na simba,ila kwa international players wachezaji wenye hadhi yakucheza simba pale kwasasa ni inonga,chama na morrison,hao wengine wote waonyeshwe mlango wakutokea...hata onyango wasimpe mkataba mpya tunahitaji new faces with quality...hawa akina banda,sakho hakuna hata mmoja hapo anafikia quality ya morrison watupishe wote...kanoute injury kila mara na hana consistency atupishe kwanza....simba ni brand kubwa africa tunahitaji quality players
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo inauma, ila ndo ukweli.
 
Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
Watapinga ila ukweli ndo huu.
 
Mbona Katoa pongezi Kiuanamichezo kbs, Wapi alipoWaka..?

Hlf katoa Maoni yake Kwamba bodi ya timu inahitaji kufanya maamuzi magumu yatakayo husisha Ukarabati Mkubwa..! Hivyo tu.

Huu ni Uungwana kbs,
Mmiliki au Tajiri mwenye timu akizungumza hivyo...!!

Jua kinachofuata ni hatua... hayo sio maoni ya kiuanamichezo.....tumia akili
 
Kocha ni mpuuzi sana asipoondolewa hali itakuwa mbaya zaidi.

Anachelewa kufanya sub siku zote.Banda yuko wapi leo?
Wachezaji ndio hao akina Morrison na Chama hawataki.Utamletea wengine atawakataa...sasa huu si upumbavu
Morisson na Chama hawana nidhamu
 
Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
Kwani Yanga Haijawahi Kushinda Na Manula Wenu Akiwepo?, Shuti La Chini Chini Tu La Mayele Kwenye Ngao Ya Jamii Kashindwa Kuliona Angeweza Kupangua Lile Kombora Fei? Em Fanya Rejea Ukaangalie Goli Alilofungwa Na Balama Mapinduzi Kwanza Tar 4/01/2020.
 
Back
Top Bottom