Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Hivi kwa ukubwa wa Simba inakuaje shughuli kupata Quality Players?
Kiongozi kwani show room za Prado huzioni? Mbona mnaishia kwenye IST na GX 110?

Au unadhani yule Adebayor amekataa kusajiliwa na Simba?

Hata huko AS Vita tulipokimbilia Sasa hivi ni vile tu wale madon wa Kule Wana mgogoro wa kiuchumi lakini ukweli Bado sana kuwafikia uwekezaji kama wa RS Berkane mpaka mchezaji kama Chama anawekwa benchi na kocha anamtema Hana nafasi.
 
Kocha ni mpuuzi sana asipoondolewa hali itakuwa mbaya zaidi.

Anachelewa kufanya sub siku zote.Banda yuko wapi leo?
Wachezaji ndio hao akina Morrison na Chama hawataki.Utamletea wengine atawakataa...sasa huu si upumbavu
so bro unaona banda ni bonge la mchezajiiii ehe..?
 
Matola anajua mazingira ya timu, pamoja na tabia za wachezaji wa kibongo...
 
ACHA KUMFANANISHA MAYELE NA VITU VYA KIJINGA.
KUWA MSTAARAB NDUGU YANGU
 
HIVI MAPATO NA MATUMIZI YA SIMBA KWA MWAKA UNAYAJUA.?
Timu zetu ni masikini kwahiyo usajili unaendana na hali ya uchumi.
 
HIVI MAPATO NA MATUMIZI YA SIMBA KWA MWAKA UNAYAJUA.?
Timu zetu ni masikini kwahiyo usajili unaendana na hali ya uchumi.
tatizo sio kuwa na bajeti kubwa tatizo ni kutokuwa na scouting nzuri ya wachezaji, mchezaji kama inongo na chama ni top players lakini simba iliwapata wakiwa mikataba yao ipo mwishoni,hawakuhitaji kutoa fedha nyingi sana kuwapata hao wachezaji...pia miquisson hakuna alietarajia atatua simba lakini walimpata kwa gharama ndogo kulinganisha na quality aliyonayo...timu kama arsenal toka enzi za arsene wenger mpaka leo kwa bajeti yao yakuungaunga ingekuwa timu yakupigania isishuke daraja tu kila mwaka ila kinachowaokoa arsenal wanascouting nzuri sana inayosaidia kupata wachezaji wazuri kwa bei ndogo....tatizo ni pua skauting kama kazi yausajili imewashimda waajili technical director
 

Sijaona alipowaka, labda kiingereza kimenipiga chenga
 
Bila bajeti kubwa, scouting inasaidia nini?
bro kama huna bajeti kubwa scouting nzuri inasaidia kupunguza gharama za usajili kwakutafuta wachezaji wazuri talented wasiojulikana kwa bei ya bure ili ubane matumizi na uweze kuiendesha timu vizuri nje na ndani ya uwanja kwa bajeti ndogo iliyopo kwenye club mfano mzuri ni timu kama ajax, dortmund au rb salzburb.....timu zenye bajeti kubwa kama psg,man city au al ahly mfano haziangaiki sana na scouting sababu zinaela zakutosha zinapick tu top players
 
Kocha ni mpuuzi sana asipoondolewa hali itakuwa mbaya zaidi.

Anachelewa kufanya sub siku zote.Banda yuko wapi leo?
Wachezaji ndio hao akina Morrison na Chama hawataki.Utamletea wengine atawakataa...sasa huu si upumbavu
Sijui kwanini anamtegemea hivyo Mugalu wakati ni Mzito sana, aheri hata ya Kagere angalau.
 
Wachezaji wote uliowataja ni wazuri kwa Simba lakni sio wazuri kiafrika hususani kimashindano ya Caf.
Waliifikisha wapi Simba.?
 
Umenena vyema. Timu zetu zinasubiri mchezaji awasumbue uwanjani au awafunge ndio utaona kurwa na doto wa kariakoo wananza kupigana vikumbo. Wakati ni suala la kuwa tu na watu wawili/watatu wenye uelewa wa mpira kupewa kazi ya kufuatilia ligi tu za hapa Afrika Mashariki na Kati au hata Afrika nzima kisha wakimuona mchezaji anawafaa wamfuatilie kwa ukaribu zaidi basi. Tena wachezaji wa kuwapata kwa mtindo huo hata "signing fee" inakuwa ndogo sana tofauti na mchezaji huyo huyo aking'ara baada ya kukutana na hao vigogo. Wanashindwa hata na viongozi wa zamani ambao wakimuona mchezaji mzuri mkoani walikuwa wanaujulisha uongozi wa Simba/Yanga fasta na ikiwezekana walikuwa wanachingashana nauli wanampa mchezaji anaenda Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…