Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Kocha ni mpuuzi sana asipoondolewa hali itakuwa mbaya zaidi.

Anachelewa kufanya sub siku zote.Banda yuko wapi leo?
Wachezaji ndio hao akina Morrison na Chama hawataki.Utamletea wengine atawakataa...sasa huu si upumbavu
Ila hili swala la kudelay sub nalo ni kero
 
Sasa tununue quality players.

Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba

Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka

Sakho, banda utoto umewajaa
Katika list yako hawa watu watoe;

Kibu atakuja kuwa Bora msimu ujao,kumbuka alivyoanza alikuwa mbaya zaidi ya hapa alipo leo..now ameimprove sn though kuna muda anachelewa kufanya maamuzi,atakuja kumrithi boko

Banda ni mzuri,anajua kupunguza,anapiga pass sahihi,Kwa wakati na maamuzi yake ni ya wakati sahihi na anakuwa hatari akifika lango la mpinzani,anahitaji mazoezi ya kumwongezea stamina awe km alivyo Kelvin John wa sasa

Sakho ana utoto na kucheza na jukwaa km mayele..alichozidiwa na mayele ni mabao na ubora lkn Tabia zao za kucheza na jukwaa zinafanana.Pia anahitaji mchezaji mwenye Kasi Aina ya konde boy ili kuweka intensity kubwa pale mbele..

Timu inaanza nyuma vizuri lkn ukifika mbele inakuwa butu haina maajabu (kumbuka mechi ya wale waivory coast dhid ya Simba kule ugenini ktk shirikisho) timu inacheza vizuri,unapiga pasi na kupossess lkn Mpira ukifika mbele hauna maajabu wala ubunifu..
 
Inawezekana coach hana mahusiano mazuri na wachezaji wake pia mbinu zake sio nzuri. Yote kwa yote matokeo yanaumiza Sana.
 
Sahihi sana pia viongozi janjajana wote waondelewe...
 
Sasa tununue quality players.

Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba

Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka

Sakho, banda utoto umewajaa
kwaiyo mna kipasua kikosi chore[emoji15][emoji15]
 
Sasa tununue quality players.

Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba

Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka

Sakho, banda utoto umewajaa
Kwa wachezaji wakitanzania tulionao nchini hatuna budi kuwavumilia kina kibu,bocco na Mzamiru hasa ukizingatia na international experience wameshaanza kugain wakiwa na simba, ila kwa international players wachezaji wenye hadhi ya kucheza simba pale kwasasa ni inonga, Chama na Morrison,hao wengine wote waonyeshwe mlango wa kutokea...

Hata Onyango wasimpe mkataba mpya tunahitaji new faces with quality... hawa akina Banda, Sakho hakuna hata mmoja hapo anafikia quality ya Morrison watupishe wote... Kanoute injury kila mara na hana consistency atupishe kwanza....simba ni brand kubwa Africa tunahitaji quality players.
 
Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
 
Sasa tununue quality players.

Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba

Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka

Sakho, banda utoto umewajaa
Na hawa pia Mwinuke, Mwenda , Mhilu ni wa kawaida sana
 
Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
Kula tano
 
Ila sasa naona ni muda wa kumpa matola timu...tuachane na hizi porojo za makocha wakigeni. Kama tunaleta kocha wakigeni basi tulete wa ukweli na boss aache ujinga tulipe hela za maaa sio vijisenti
Kwa wachezaji hawa hawa!!! Hata tumlete kocha wa Chelsea au Mancity, hatufurukuti. Hatuna forward kabisa
 
Kwa wachezaji hawa hawa!!! hata tumlete kocha wa Chelsea au Mancity, hatufurukuti. Hatuna forward kabisa
Wee umlete kocha wa maana kwa hela gani aliyonayo muddy bwana.
Hapa kuleta kocha wa dollar 50k kwa mwezi tuu itakuwa shida.
 
Back
Top Bottom