Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

Kwahiyo husemi tena kwa mama ikiwa SIMBA Hatoshiriki klab bingwa next czon?
 
Kachunge ng'ombe wa mmeo Mayele!!!
 
Ikitokea hivyo itakuwa pigo kubwa kwa taifa maana watakaoiwakilisha nchi kama kawaida watatolewa raundi ya awali (sio ya kwanza, ya awali)
 
Ramli/Ndoto
 
Kama hujui Ni akili kuuliza. Hujui chochote jinsi hizo nafasi zinavyopatikana.
 
Kwan mwananchi unateseka ukiwa wapi ,Simba hata Kama hajachukua kombe la ligikuu kimataifa lazima tu unataka kunambia yanga wana uwezo wa kuchukua makombe yote ligi na FA
 
Tatizo lenu hata mwende hamfiki hata preliminary
 
Mnnnh Ati nusu funali, Soma uzuri kasema nusu fainali gani, amesema nusu fainali ya FA yaani azam cup na sio ya confederation, someni kwanza muelewe kilicho andikwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…