Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Kwahiyo husemi tena kwa mama ikiwa SIMBA Hatoshiriki klab bingwa next czon?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachunge ng'ombe wa mmeo Mayele!!!Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
Nakazia❤️🤪🤪🤪 Anza na mtoa mada
😆😁😄😃😀Kafagie samadi ya ng'ombe wa Mayelle
Timu yenye Zizi la Ng'ombe Tanzania.Kafagie samadi ya ng'ombe wa Mayelle
Ikitokea hivyo itakuwa pigo kubwa kwa taifa maana watakaoiwakilisha nchi kama kawaida watatolewa raundi ya awali (sio ya kwanza, ya awali)Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
Ramli/NdotoKuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
Kama hujui Ni akili kuuliza. Hujui chochote jinsi hizo nafasi zinavyopatikana.Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
Siyo nusu Bali robo fainali. Na hata kwenye makundi inategemea na mwenendo wa timu nyingine, tunawez peleka timu 4.Akitinga nusu fainali kunauwezekano wa tim nne kushiriki kwahiyo top 4 za ligi zitaenda kimataifa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwan mwananchi unateseka ukiwa wapi ,Simba hata Kama hajachukua kombe la ligikuu kimataifa lazima tu unataka kunambia yanga wana uwezo wa kuchukua makombe yote ligi na FAKuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
hamchoki? Tangu raundi ya maneno Ni hayo hayo. Siyo kwa kujituma huku.Nusu fainali anafikaje wakati leo anapoteza
😂 😹 kule utopoloni wenye utimamu wa akili wako 2, yule mzee aliealikwa bonanzani jana na mzee manara wengin wote hawana akili kwa mujibu wa msukuleHii sensa iende sambamba na kutambua idadi ya wagonjwa wa akili
Mnnnh Ati nusu funali, Soma uzuri kasema nusu fainali gani, amesema nusu fainali ya FA yaani azam cup na sio ya confederation, someni kwanza muelewe kilicho andikwa,dah!,mtani unayumba sana.kwa mashabiki wote wa Uto huwa nakitegemea wewe tu ndo angalau huwa unajitahidi.
Simba akitolewa nusu fainali atakua na zaidi ya point 30.5 point ambazo zitapeleka timu nne kimataifa.
ina maana hata kabla ya kujulikana bingwa wa msimu huu ligi ya NBC tayari Simba atakua keshawapeleka kimataifa nyinyi Uto na wenzenu wengine wawili.
sijui umeelewa?
Mchunga ng'ombe tumemoa kazi hio bocco ambae Hana bao kwa ligi so Hana kazi uwanjani aje achunge ng'ombeAchana naye akili imechoka wanachunga n'gombe jangwani
Nusu funali gani?? Elewa kilicho andika, nusu FINALI ya kombe LA AZAM ndio hiitwa FASimba kufika nusu fainali umendika [emoji121]wewe mwenyewe soma hapo.