Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ndio zitaingiaWatu wanavotambia hizo pesa huku mtaani utafikiri zinaingia mifukoni mwao
Ovyo kama mchuzi wa papai uliotiwa naziNdio zitaingia
Kwani simba wakipata watatumia wapi si watatumia mitaani
safari hii hadi tukabebe kale ka-kikombe kilicho wa shinda wengiKlabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Masry SC ya Misri kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia sare ya jumla ya mabao 2-2 (Simba SC 2-0, Al Masry SC 2-0).
Katika hatua ya nusu fainali, Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, ambapo mechi ya kwanza itapigwa kati ya Aprili 20 Dar es Salaam, na mchezo wa marudiano kufanyika Afrika Kusini kati ya Aprili 27, 2025.
Hebu tupigie mahesabu na sisi tulioishia makundi tutapata ngapi hapo?Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Masry SC ya Misri kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia sare ya jumla ya mabao 2-2 (Simba SC 2-0, Al Masry SC 2-0).
Katika hatua ya nusu fainali, Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, ambapo mechi ya kwanza itapigwa kati ya Aprili 20 Dar es Salaam, na mchezo wa marudiano kufanyika Afrika Kusini kati ya Aprili 27, 2025.
Topolo tuliaWatu wanavotambia hizo pesa huku mtaani utafikiri zinaingia mifukoni mwao
Ili CCM wamepiga hela za ukarabati wa uwanja!Ovyo kama mchuzi wa papai uliotiwa nazi
Simba kuna wachezaji wana ndugu zao Tandahimba watawarushia hela wengine wana miradi ta ujenzi Tandahimba hizo.pesa zitawafikia kama mafundi na vibarua na wauza vifaa vya ujenziIli CCM wamepiga hela za ukarabati wa uwanja!
Hapo Shotocan anatetea "mitano tena" bila hata kujali ukweli. Mtu wa Tandahimba hadi afikiwe na hizo Hela itakuwa lini na itakuwaje kuwaje!?
Kwani ni shilling ngapi hadi utuletee hapa hadithi za Abunuwas!?Simba kuna wachezaji wana ndugu zao Tandahimba watawarushia hela wengine wana miradi ta ujenzi Tandahimba hizo.pesa zitawafikia kama mafundi na vibarua na wauza vifaa vya ujenzi
Hiyo ikitoka utashangaa inagawanywa pasu kwa pasu na mwekezaji.Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Masry SC ya Misri kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia sare ya jumla ya mabao 2-2 (Simba SC 2-0, Al Masry SC 2-0).
Katika hatua ya nusu fainali, Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, ambapo mechi ya kwanza itapigwa kati ya Aprili 20 Dar es Salaam, na mchezo wa marudiano kufanyika Afrika Kusini kati ya Aprili 27, 2025.
Haina shida.Hiyo ikitoka utashangaa inagawanywa pasu kwa pasu na mwekezaji.
Wewe ulitakaje mkuu?, yaani niwekeze biashara halafu nisivune. Ni sadaka hiyo?Hiyo ikitoka utashangaa inagawanywa pasu kwa pasu na mwekezaji.