Simba kuwa mabingwa wa champions league Afrika

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Nionavyo mimi na kwa mpira waliounyesha simba jana. Naona hakuna timu itakayomzuia simba kubeba kombe la champions league. Sababu zipo mbili

1. Simba wamecheza na kuwafunga al ahly ambao ni mabingwa wa historia na walicheza fainali pia mwaka jana

2. Wamecheza na kuwafunga AS Vita ambao mwaka jana walifika fainali kombe la shirikisho mwaka jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndizo IQ zenu mnapumbazwa na ushindi mliokuwa hamuutarajii acha upuuzi ww kwa kipi simba ilichonacho hadi kufika final pungazeze kweli. 😀😀
Naona umeumia sana. Ila hayo yalikuwa maoni yangu maana mnyama huwa hatabiri leo anawinda kwa staili hii kesho kwa staili nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh mkuu stage tunayoingia KO ni balaa yaani hapa mtaji ni magoli mengi ksb ili tusonge mbele ni aggregate so nasikia ila sina hakika tunaanzia home tunamaliza ugenini balaa lipo, kikubwa tupewe weusi wenzetu tunaweza furukuta but all in all mpira una matokeo ya ajabu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi naona ndio itakua sehem ya wana yanga kupumua kdg maana wao kila teamwanashabikia afu wanaishiwa kupakatwa tu angalau na wao watoe ya moyon kdg hapa
 
Hakuna kinachoshindikana. Ikiwa timu itafokasi kwenye kutafuta matokeo. Mfano Enyimba fc mwaka 2003 2004 2005 nani alitegemea wangetwaa ubingwa na walikua wageni? Nakumbuka kweye hatua ya makundi walinyooshwa hamsa na ismailia na wakawa wanapoteza mechi ugenini. Ila wakatumia uwanja wao wa nyumbani vizuri. Lakini walipofika hatua ya mtoano walibadilika kabisa mpaka wakabeba ndoo.
 
Hapa ni mtoano magoli mengi yanatakiwa kushinda si ligi tena,simba iwe makini akipigwa hamsa ugenini home akishinda moja au mbili out, na anapangwa na timu zilizoongoza makundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
Simba tunapewa timu moja wapo kati ya hizi, Wydad Casablanca, TP mazembe au Esperance de tunis.
...
Kwa sababu hatuwezi kucheza na al ahly robo wala yeyote alieshika nafasi ya pili tuna mziki aisee bora tumpate mazembe.
 
Simba ilimaliza nafasi ya 2... na timu zilizo maliza nafasi ya kwanza kwenye makundi mengine ambazo zina nafasi kubwa ya kucheza na simba ni tp mazembe...esperance... na wydad casablanca.... shughuli pevu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tumpate mazembe huyu kidogo tunaweza kummudu hata kama tutapoteza.
....
Esperance hawafai hata kidogo mara sabini wydad japo nae si mzuri
 
Penye nia hapakosi njia ni maandalizi ya uhakika, wacheza kujituma kutokuwa na majeruhi ya kutisha na kucheza kama timu kwa dakika zote 90 huku wakihaha uwanja mzima kutafuta ushindi huku wakicheza defence ya kufa mtu huku wakiepuka silly mistakes.

Simba ilimaliza nafasi ya 2... na timu zilizo maliza nafasi ya kwanza kwenye makundi mengine ambazo zina nafasi kubwa ya kucheza na simba ni tp mazembe...esperance... na wydad casablanca.... shughuli pevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndizo IQ zenu mnapumbazwa na ushindi mliokuwa hamuutarajii acha upuuzi ww kwa kipi simba ilichonacho hadi kufika final pungazeze kweli. 😀😀
Naona povu mzee baba...lipuli washawatia jana wametatua marinda..tulia uugulie maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…