Simba kuwa mabingwa wa champions league Afrika

Hivi Mtani, makundi wakati yanaanza ungeamini hata chembe kwamba Mnyama Pori atapita kwenye kundi?

Achilia mbali baada ya kulambishwa 5, 5.

Though ni ndoto kubwa sana, lakini inawezekana.
Ooh. Haya bana Mtani japo mlipo sasa ni Mtoano na kwa ule mwendo wa 5,5 sijui kama hapo mnapopaita kaburini zinaezekana kurudishwa na ushindi kupatikana. Labda mfungwe chache ugenini yaezekana ikawa kweli hiyo ndoto kubwa.
 
Mtani kiuhalisia hiyo ni ndoto kubwa, kama ninavyosema.

Hapa tulipofika ni zaidi ya tulivyotegemea, ndiyo maana tuko tayari kwa lolote.

Lakini mpira una maajabu yake (we are banking on those miracles) na unaweza shangaa ndoo inatua bongo.
 
Nionavyo mimi na kwa mpira waliounyesha simba jana. Naona hakuna timu itakayomzuia simba kubeba kombe la champions league. Sababu zipo mbili

1. Simba wamecheza na kuwafunga al ahly ambao ni mabingwa wa historia na walicheza fainali pia mwaka jana

2. Wamecheza na kuwafunga AS Vita ambao mwaka jana walifika fainali kombe la shirikisho mwaka jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za mikia mikia hizo.
 
Kwani Al Ahly si alikufunga na yeye 5 na huyo vita club si alikufunga tano.

Kwanini ushindi wako ndio uonekane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Hapo penye kuomba sasa Mtani. 😎😎😎😎

Hapo unajiombea wewe pia Mtani, maana tukianza kupasha hivi viporo vya kwenye mafreezer tutakupita shaaa!

Halafu sasa hivi hata ule msemo wa kila mtu ashinde mechi zake umepungua nguvu baada ya nyie kuanza kupigwa ovyo.
 
Mie nitakata tamaa ligi ikiisha Mtani nje ya hapo naona kuwa na viporo si sababu ya kuwa mtavishinda vyote hasa kwa ligi yetu yenye maajabu ya kila aina.

Labda Miamala ikihusika Mtani ila nje ya hapo kuamini viporo vyote vitapashika ni mpaka pale vitakapopita na ikawa hivyo Mtani.
 
Miamala haitahusika, na viporo vitaliwa vyote. Ubaya sasa hata ikitokea kimoja kikachacha ninyi nao mnasua sua.
 
Watani zangu 100 Likes , toxic9 , Krizy Beat , Sanchez magoli , Van pebles Mtoto halali na hela King Ngwaba , Sesten Zakazaka hivi mmepita hapa naona mwenzenu kanogewa huku anajua mtateremka tu hadi ubingwa. Lol.
Lolote linaweza tokea mtani, sometym kwenye mpira na bahati inahusika mtani, game plan yetu kuanzia robo final pia itachenji sidhan km tutaruhu goli nyingi tukiwa away kama apo awali. Pia wakae wajue kwa mkapa si salama
IMG_20190319_110132_676.JPG
 
Back
Top Bottom