100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Watani zangu 100 Likes , toxic9 , Krizy Beat , Sanchez magoli , Van pebles Mtoto halali na hela King Ngwaba , Sesten Zakazaka hivi mmepita hapa naona mwenzenu kanogewa anajua mtateremka tu hadi ubingwa. Lol.
Hahaha, haikatazwi kuwaza makubwa Mtani.
Wanasema omba kuwa juu kama Mwezi ili hata usipoufikia mwezi utakuwa Nyota, tayari unakuwa juu.