Simba kuwa mabingwa wa champions league Afrika

Simba kuwa mabingwa wa champions league Afrika

Nusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
Hivi mamelod unamjua unamsikia hapo hakuna afadhali kwa Simba anaekubali kufungwa away aje apindue matokeo home!! Apigwe tano nahao horya away taifa aje azichomoe
 
Tukubari kwa sasa hatuna cha kupoteza, malengo kwa kiwango cha juu yametimia
 
Tukubari kwa sasa hatuna cha kupoteza, malengo kwa kiwango cha juu yametimia
Hapo kwenye nyekundu muepatia ni sawa kabisa!!!!! mbona hapo kwenye bluu umekosea wakati herufi ni ileile?
 
Ingekuwa inasimamiwa na TFF Sawa maneno yako sahihi ngoja tuone kijacho alafu tuje hapahapa
 
USHAURI:kwa wachezaji/Kocha:
mabeki wajirekebishe,wasiruhusu mpira kupigwa"cross",muda mwingine timu ikishambuliwa wengi wanategeana katika kukaba.
Hatua ya robo fainali ni ya wajanja,ukiacha shambulizi lifike eneo lako,na bado unaacha "cross" zinapigwa,yaani kati ya "cross" 5,'Cross' 2 huwa zinazaa goli.
 
Back
Top Bottom