IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Hii hii iliyomfumua marinda yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hii iliyomfumua marinda yanga
...halafu ikatinga robo fainali, na walioipiga hamsa wakarudi nyumbani kujipanga mwakaniSimba hii iliyopigwa hamsa mara mbili
Hivi mamelod unamjua unamsikia hapo hakuna afadhali kwa Simba anaekubali kufungwa away aje apindue matokeo home!! Apigwe tano nahao horya away taifa aje azichomoeNusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
Nakuunga mkono sisi washabiki wenyewe asilia wa Simba hatuna haraka na kombe tunaenda mdogo mdogo.Nusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
Ukienda ugenini unapigwa tano....unafikiri unaenda kukutana Na SouraNaona umeumia sana. Ila hayo yalikuwa maoni yangu maana mnyama huwa hatabiri leo anawinda kwa staili hii kesho kwa staili nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali umekua mkweli [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nusu tunaweza kufika tukipewa Horoya au Mamelod ila ubingwa mkuu tusubiri mwakani
Yanga hovyo, Zahera anatuharibia vijana serikali ingilieni katiHizo ndizo IQ zenu mnapumbazwa na ushindi mliokuwa hamuutarajii acha upuuzi ww kwa kipi simba ilichonacho hadi kufika final pungazeze kweli. 😀😀
Hapo kwenye nyekundu muepatia ni sawa kabisa!!!!! mbona hapo kwenye bluu umekosea wakati herufi ni ileile?Tukubari kwa sasa hatuna cha kupoteza, malengo kwa kiwango cha juu yametimia
🙈 aibu dah!Hapo kwenye nyekundu muepatia ni sawa kabisa!!!!! mbona hapo kwenye bluu umekosea wakati herufi ni ileile?
DAAHHizo ndizo IQ zenu mnapumbazwa na ushindi mliokuwa hamuutarajii acha upuuzi ww kwa kipi simba ilichonacho hadi kufika final pungazeze kweli. 😀😀
😀😀😀 POVU LAJA.Mechi gani wameshinda ugenini? timu bora haichagui kiwanja!!!! hiki kiwanja cha nyumbani mnaowachosha wazee wenu wanakesha uwanjani kabla ya mechi?