SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
hatukuanzia group stage tulianzia play offs kat ya mbabane na nkanaOoh. Haya bana Mtani japo mlipo sasa ni Mtoano na kwa ule mwendo wa 5,5 sijui kama hapo mnapopaita kaburini zinaezekana kurudishwa na ushindi kupatikana. Labda mfungwe chache ugenini yaezekana ikawa kweli hiyo ndoto kubwa.
Huamini!? Ndio itakavyokua sasaUkisikia kubwa kuliko ndio hii sasa.
Sio kama tutateremka, tunajua fika kua njia ya ubingwa ni ngumu maana timu zote zilizofuzu ni vigogo haswaa vya soka la AfrikaWatani zangu 100 Likes , toxic9 , Krizy Beat , Sanchez magoli , Van pebles Mtoto halali na hela King Ngwaba , Sesten Zakazaka hivi mmepita hapa naona mwenzenu kanogewa huku anajua mtateremka tu hadi ubingwa. Lol.
Hizo ndio mbinu za mashindano mkuu. Kwenye ligi tunahesabu points. Hata utumie nguvu kiasi gani na ukaifuka timu pinzani magoli hata kumi usipofanya vizuri katika mechi zingine itakugharimu kama ilivyowagharimu AS Vita. Tangia awali Simba waliweka wazi kua wanatafuta points zao tisa kwa michezo ya hapa nyumbani na wakazipataAggregate mngewatoa Soura peke yake
Inawezekana, tupe support yako, ni kutuombea tushinde na sauti yako kwenye kushangilia, hayo tu ndio tunahitaji kutoka kwakoOoh. Haya bana Mtani japo mlipo sasa ni Mtoano na kwa ule mwendo wa 5,5 sijui kama hapo mnapopaita kaburini zinaezekana kurudishwa na ushindi kupatikana. Labda mfungwe chache ugenini yaezekana ikawa kweli hiyo ndoto kubwa.
Kuna mwenzio alibet mke kwenye mechi na Yanga baada ya kichapo ikabidi aombe msamahaISOMWE KWA SAUTI...
Ntajingβata mgongoni Simba wakienda Nusu fainali ya ligi ya mabingwa...
Acha wivu. Simba bingwa champions ligi.Hizo ndizo IQ zenu mnapumbazwa na ushindi mliokuwa hamuutarajii acha upuuzi ww kwa kipi simba ilichonacho hadi kufika final pungazeze kweli. ππ
Yes time will tell. Na huo muda utakapofika na uhalisia kudhihirika mtagundua kwamba imani kwa timu yetu ilikua na msingi. ChmbnLet's wait and see Mtani. Time will tell.
Haya Mtani nasubiria nione mtaruhusu ngapi ugeniniLolote linaweza tokea mtani, sometym kwenye mpira na bahati inahusika mtani, game plan yetu kuanzia robo final pia itachenji sidhan km tutaruhu goli nyingi tukiwa away kama apo awali. Pia wakae wajue kwa mkapa si salamaView attachment 1048889
Angalau Mtani we umekuwa mkweli.Ila kwangu naona simba ugenini wanazingua sana so bado kazi ipo
Hahahaaa. Utakuja kuyakimbia maneno yako Ses.Huamini!? Ndio itakavyokua sasa
Tuendelee kusubiri uku twatafuna viporoHaya Mtani nasubiria nione mtaruhusu ngapi ugenini
Nawaona tu na jana kama sio Kocha wenu kujiongeza na kuamua kuwaingiza kina Kagere na Niyonzima sidhani kama mngepata matokeo.Tuendelee kusubiri uku twatafuna viporo
Sawa SINA JAMBOhatukuanzia group stage tulianzia play offs kat ya mbabane na nkana
ko hilo msiasahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndomana ya kikosi kipana mtani, mlivyo na fitna mshindwi kumuumiza kagere wetu ili waydad Casablanca watutafune vizurNawaona tu na jana kama sio Kocha wenu kujiongeza na kuamua kuwaingiza kina Kagere na Niyonzima sidhani kama mngepata matokeo.
Hahahaaa. Unajitabiria eeee.Si ndomana ya kikosi kipana mtani, mlivyo na fitna mshindwi kumuumiza kagere wetu ili waydad Casablanca watutafune vizur
Sema tuna kilima cha kupandisha mtani mi naona afadhari tupewe hata tp mazembe kuliko hao waarabu wawiliHahahaaa. Unajitabiria eeee.
Hapo Esperance inakuhusu Mtani. πππ
Ila si ndio maana halisi ya kuwa nane bora Africa hivyo unatakiwa usiogope Vita Mtani.Sema tuna kilima cha kupandisha mtani mi naona afadhari tupewe hata tp mazembe kuliko hao waarabu wawili
Hahaha kihemu hemu lazima mtani, taifa sihofii sana mtani, yeyote atakaye kuja hawezi toka salama, tatizo away tunazingua sanaIla si ndio maana halisi ya kuwa nane bora Africa hivyo unatakiwa usiogope Vita Mtani.