Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamelodi kambi yao South, nauli shs ngapi kutoka South mpaka ..... South?Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
mbumbumbu fc tatzo ushamba unawasumbuaKaiza chief wamepiga kambi Johnsburg Sasa Yanga kuweka kambi Moro shida Iko wapi
Hivi ile kambi ya Hong Kong imeishia wapi? Mana nasikia mmebadilisha mmeenda mji mwingine unaitwa Morohong kongMamelodi kambi yao South, nauli shs ngapi kutoka South mpaka ..... South?
Na siku hizi South ndiyo USA au Portugal. Hizi siyo dalili njema hakika.Hivi ile kambi ya Hong Kong imeishia wapi? Mana nasikia mmebadilisha mmeenda mji mwingine unaitwa Morohong kong
Kipimo kizuri cha timu hizo ni pale zitakapokutana ndipo tutaweza kupima kama south imekuwa na manufaa kwa simba au morogoro kwa yanga.Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
Wakati ule Yanga ikienda Turkey, Mikia walikuwa wanaenda wapi?Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
Una akili ya kitoto sana, naam ya kijingaHapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
Hawan hela mamelodi mkuu kama yanga tu. Nenda kwenye club za ulaya kama arsenal, man u, liver, real mdrid uliza zipo wapi pre seasonMamelodi kambi yao South, nauli shs ngapi kutoka South mpaka ..... South?
Hao maskini kama yanga. Nenda ulaya angalia club kubwa zote pre season zimeenda wapiKaiza chief wamepiga kambi Johnsburg Sasa Yanga kuweka kambi Moro shida Iko wapi
South africaWakati ule Yanga ikienda Turkey, Mikia walikuwa wanaenda wapi?
Labda South Tanzania a.k.a MtwaraSouth africa
Ngere ngere Mkuu.Simba wapo Kijiji Gani huko South