Simba kuweka kambi South Africa Yanga Morogoro

Simba kuweka kambi South Africa Yanga Morogoro

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
 
Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
Kipimo kizuri cha timu hizo ni pale zitakapokutana ndipo tutaweza kupima kama south imekuwa na manufaa kwa simba au morogoro kwa yanga.
 
Hapa ndio unaapoona tofauti ya ukubwa wa club. Simba inaenda SA wakati yanga wanaenda moro nauli shilingi elfu 7 tu.
Wakati ule Yanga ikienda Turkey, Mikia walikuwa wanaenda wapi?
 
Mamelodi kambi yao South, nauli shs ngapi kutoka South mpaka ..... South?
Hawan hela mamelodi mkuu kama yanga tu. Nenda kwenye club za ulaya kama arsenal, man u, liver, real mdrid uliza zipo wapi pre season
 
Buku 7 ina siri kubwa sana. Lumumba buku 7. Yanga wameenda moro nauli buku 7. Posho ya wachezaji wa yanga kwa siku buku 7.
 
Back
Top Bottom