Simba kuweka kambi South Africa Yanga Morogoro

Vipi kule south nasikia siku hizi ni mwendo wa wiki sio hamsa tena hahahahahahahahaha
 
Hiyo nauli ni bora wangeanzia tu kusafisha pori LA uwanja wao huko kigamboni
Wamepoteza pesa bure wangeenda mbeya bado ingefaa tu
 
Maeneo wanayofanyia mazoezi yanafanana tu sasa sijui walio sauz wanafaidika na nini. Viwanja vya Moro na kule wanapofanyia tizi mbumbumbu, Tundu, Mtumbwi,Mikia FC vinaonekana hamna tofauti
 
Vipi kule south nasikia siku hizi ni mwendo wa wiki sio hamsa tena hahahahahahahahaha
Hahaha wiki 8 ndio mda wa Kambi yetu huko sauz, vip nyie huko shambani mna maliza lin kuvuna mkuu....
 
Maeneo wanayofanyia mazoezi yanafanana tu sasa sijui walio sauz wanafaidika na nini. Viwanja vya Moro na kule wanapofanyia tizi mbumbumbu, Tundu, Mtumbwi,Mikia FC vinaonekana hamna tofauti
Hii ni Moja ya faraja tuliyo nayo kwa Sasa ss Vyura FC . Mlevi mmoja alisikika akisema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…