Simba kuweni makini na drones wakati wa mazoezi yenu Casablanca

Oyaaa mbona kuna drones kibao zinauwezo wa kurekodi gizani braza
 
We ni kocha wa timu gani?
 
Oyaaa mbona kuna drones kibao zinauwezo wa kurekodi gizani braza
Zikiwa juu sana na huku chini mwanga hafifu, hazitatoa video za quality unazoweza kuzisoma. Drone za kijeshi ndiyo zina uwezo huo maana camera zake zina uwezo mkubwa wa kurekodi matukio hata katika giza tupu.
 
Siku ya mechi wajifanye wana mafua kwa sababu ya hali ya hewa waombe mechi iahirishwe watafuten NEUTRAL GROUND maana siyo kwa lile vibe la mashabiki
 
Post nzuri kinadharia, lakini kiuhalisia hata FIFA imezuia matumizi ya Drones katika Viwanja vya michezo ya mpira wa miguu.

Sababu ni kwamba zaweza kutumika kama Silaha za maangamizi. Zinaweza kuwa loaded with bombs. Hilo ondo shaka. Simba imekwishafanya mazoezi ya kifundi yote hapa hapa nyumbani Tanzania. Pale Casablanca wanaokwenda kufanya mazoezi ya kawaida ya utimamu wa mwili tu.

Ni masuala ya pumzi zaidi na kucheza bila mpira, ambayo tumezo3a kuyaita "Hangaisha bwege" au "ku-suffer."

Mengine yote yalishakamilika.
 
Ahsante Juma Mgunda aka Guadiola mnene.
 
Sawa mkuu. Guvu moya!
 
Kumbe aliletwa kwa ajiri ya Nabi ok poa, Note this Robert na Robertinho ni sawa na Saidi na Saidoo chukua hio mbumbumbu
Na Nabi tumuiteje, Nabinho au Nabioo? Sisi Wanyamwezi kwanza mzee wetu tunamuita BOB hata hilo Robertinho hatulitumii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…