Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu sana kiufundi na kimbinu, na pia wamejenga hoja zao Kama ifuatavyo;
A) MECHI DHIDI YA TABORA UNITED
Wanaoujua mpira wamejenga hoja ya kwamba mpaka Simba anakwenda kucheza na TABORA united ilikuwa imezuiwa kutumia wachezaji wake wote wa kigeni kwa kukosa vibali baada ya kufunguliwa na fifa lakini tff ikashindwa kutoa leseni na vibali kwa wakati licha ya kukamilisha taratibu zote kabla ya mchezo, hii Ina maana ya kwamba kulikuwa na michezo michafu ya kuchelewesha makusudi ili Simba wapate mserereko wa kushinda mechi kirahisi ukizingatia bado wanajitafuta, lakini pia bodi ya ligi kuwapangia Simba ratiba dhidi ya timu zilizokuwa na matatizo zote 2 mfululizo sio kwamba ilikuwa ni bahati mbaya Bali walipanga kimkakati walijua kabisa kwamba Simba utapata alama za bwelele ili kuwapoza mashabiki wao na kutuliza presha KWA VIONGOZI!
Pia suala la Simba kuanzia uwanja wa nyumbani mechi 3 mfululizo nalo alikuwekwa kwa bahati mbaya Bali kimalengo ikiwemo kutafuta muunganiko kabla timu aijaanza kutoka kwenda kwenye viwanja vigumu na kucheza na timu ngumu!
B) MECHI DHIDI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE!
Mechi hii aina tofauti na mechi dhidi ya TABORA kwakuwa na singida pia ilikuwa aijakamilisha usajili wa wachezaji mpaka mechi yao na namungo ikaahirishwa, wamekamilisha majuzi kwakuwa walikuwa na wachezaji 7 tu kwenye mfumo wa fifa, kimbinu na kiufundi timu imefanya mazoezi ya kiufundi lini na wachezaji waliokusanywa tu Kama mafungu ya nyanya kwenda kucheza mechi ya kiushindani wangeonyesha uwezo Gani? Fitness yao na chemistry yao nafikiri Kila mwenye kuujua mpira ameona pale uwanjani!
Kimbinu na kiufundi hizi timu zote 2 ambazo Simba kaokota alama 6 zilikuwa na Hali mbaya kupitia maelezo!
Bodi ya ligi walifanya wanachokijua sio kwa bahati mbaya kwamba unakutana na timu zote 2 mfululizo zenye matatizo yanayofanana sio kweli!
Kwa maana iyo wajenga hoja Wana wasi wasi sana ya kwamba matatizo yaliyopo pale Simba yatashindwa kurekebishwa kutokana na kukutana na timu dhaifu alafu watajiona wamekamilika jambo ambalo litawapa wakati ngumu watakapoanza kukutana na timu imara vile vilio vya muunganiko vitarudi kwa kasi ya kimondo!
Wajenga hoja wameweka angalizo ya kwamba akiba ya maneno iwepo bado Simba Ina matatizo na bado ayajaisha!
NB: kutoa povu ni ruksa lakini ujumbe umefika, kwamba singida na Tabora ni mtego kwa wajinga lakini wenye akili wanajua siasa za mpira wa kitanzania ivyo jiandaeni kisaikolojia!
Pia soma:FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024