koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Denis anakua kocha wa team ya vijana ya simbaDenis Ki
Denis anaenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Denis anakua kocha wa team ya vijana ya simbaDenis Ki
Denis anaenda wapi?
Kweli mkuu! Yaani awe kocha msaidizi kule Lipuli na Polisi afu aende Simba kuwa kocha Mkuu! Haiwezekani kwa kweli, ingawa siipendi hii timu ya Bunju!Mleta made sio mtu wa mpira kadandia tu. Angekuwa mtu wa mpira asingedhani Selemani anaweza kuwa kocha mkuu Simba
Kapewa nafasi ya kocha msaidizi. Ajabu atakuja kocha mkuu na kutaka awe na msaidizi wa chaguo lake. Mbilinge zitaanzia hapo.Nimeona tetesi za kocha Suleiman matola kuwa ndio anakuja kuwa mrithi wa Aussems,kiuhalisia kwangu sioni kama ni mtu sahihi kabisa,
Mimi sio hater wa matola bali ni mshabiki wake namba moja lakini katika suala la kuwa kocha mkuu Simba kwangu siafiki kabisa.Nina shaka na uwezo wake hasa kimataifa viongozi tafuteni kocha mwenye CV kubwa kimataifa,swala sio kuwa na wazawa ambao bado hawana viwango, Matola anafaa zaidi kuwa msaidizi ila sio kupewa ukocha mkuu hasa kwa Simba.
Hizo ni nyeti bandia.Kuna taarifa nyeti nilipata kuwa Simba wanataka kumleta aliyekuwa kocha wa Tottenham.
Simba haina uwezo wa kumleta kocha wa Mamelod, ikiwa uyo Uchebe wa kulipwa dola 7000/= wameona nyingi wamemtafutia sababu za kumtimua.Tetesi zilizopo kocha wa mamelod ndio chaguo namba 1 huko kagoma kuongeza mkataba hivyo Mr Senzo anaongea naye
Simba haina uwezo wa kumleta kocha wa Mamelod, ikiwa uyo Uchebe wa kulipwa dola 7000/= wameona nyingi wamemtafutia sababu za kumtimua.
Mweh...!!Kuna taarifa nyeti nilipata kuwa Simba wanataka kumleta aliyekuwa kocha wa Tottenham.
Wale jamaa walikuwa wanamlipa dola 56000 kwa mwezi,Na alikuwa namba 5 kwa hela nyingi Africa sasa nyie madogo mtaweza huo mpunga na tunaambiwa mnawajumbe wa bodi mbumbumbu sanaTetesi zilizopo kocha wa mamelod ndio chaguo namba 1 huko kagoma kuongeza mkataba hivyo Mr Senzo anaongea naye
Tetesi zilizopo kocha wa mamelod ndio chaguo namba 1 huko kagoma kuongeza mkataba hivyo Mr Senzo anaongea naye
nimeshangaa na mimi.. mosimane huyu huyu kipenz cha wa south aje aajiriwe na Simba ya Tanzania
Anakuja kuwa kocha mkuu, kwa mechi za kupambana na Yanga. Si mnajua tena ujinga wetu…! Eti….....yeye ANAIWEZA YANGA!Matola anakuwa head of yourth programme sio kocha mkuu wa simba wala msaidizi
Source plsAnakuja kuwa kocha mkuu, kwa mechi za kupambana na Yanga. Si mnajua tena ujinga wetu…! Eti….....yeye ANAIWEZA YANGA!
Million 27 za Aussems wameona nyingi kwa mechi zenyewe za kucheza na Masau Bwire.Pitso mosimane analipwa kama m 95 kwa mwezi,acheni kuhaminishwa ujinga nyie!
Ngoja tuone mwisho wake mkuuMillion 27 za Aussems wameona nyingi kwa mechi zenyewe za kucheza na Masau Bwire.