Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

Kwani Ndugai ana shida gani kwenye tasnia ya michezo?

Simba day sio SIASA,
ni MICHEZO na USTAWI wa WADAU wa SIMBA.

Huo ubaguzi wenu ndio unaowala hapo Utopoloni.
Mubaki munajiita Mabinga wa Zamani.
 
Kwani Ndugai ana shida gani kwenye tasnia ya michezo?

Simba day sio SIASA,
ni MICHEZO na USTAWI wa WADAU wa SIMBA.

Huo ubaguzi wenu ndio unaowala hapo Utopoloni.
Mubaki munajiita Mabinga wa Zamani.

Siasa huwezi kuitenganisha na kitu chochote

Maamuzi yoyote afanyayo job ndugai bungeni yanawaathili watanzania wote, wakiwemo wanasimba
 
Kwa kitendo cha kumualika Job, Simba wakubali hawakushauriwa vizuri. Hili litawagharimu kukosa mashabiki uwanjani lakini pia ikitokea wamefungwa wajiandae kuzodolewa!
Credibility ya Job imeshuka sana toka kwa Mwendazake mpaka sasa!
 
Kwani Ndugai ana shida gani kwenye tasnia ya michezo?

Simba day sio SIASA,
ni MICHEZO na USTAWI wa WADAU wa SIMBA.

Huo ubaguzi wenu ndio unaowala hapo Utopoloni.
Mubaki munajiita Mabinga wa Zamani.

Shida kubwa kwake ni kwa maamuzi yake yasiyozingatia katiba na hali halisi ya wanyonge - wananchi! Kama maamuzi yanapitishwa kisha anashangaa kwa nini yalipita bungeni unadhani kuna kiongozi hapo? Lakini pia mgeni rasmi ni yule ambaye ukimuweka kwenye mizani sehemu kubwa ya jamii inamkubali iwe kisiasa au kwa mambo mengine. Sasa mashabiki wakimuona huyo wanakumbuka “tozo” na wabunge wa “COVID19”. He is a disaster!
 
Yanga huwa mnajiumiza kwa mambo madogo madogo sana ya kipuuzi.

 
Timu yenu??
Timu siyo yenu ile. Mwacheni mwenye timu aamue.
 
Aisee wameniudhi sana kumchagua yule jamaa wa mirembe kuwa mgeni rasmi
 
Ndugai hawezi nitenganisha na Simba yangu.
Rivers na Simba nguvu moya Leo.

Ila namwona yanga akipata goli mbili kule. Tuone
 

Wenye uelewa finyu watakupinga ila nakupongeza sana, Ndugai hakubaliki na jamii, wamewaza utopolo kbsa, why not January Makamba. Wanaalika jitu la kichoko choko kbsa
 
Mpira na Siasa ni vitu viwili tofauti ,na Simba wamemleta Ndugai kwasababu ni shabiki wao,hapa hata ungemleta Mbowe awe mgeni rasmi bado ni siasa. Tusiingize siasa kwenye mpira .

Ila ingependeza zaidi next time Simba imlete mgeni rasmi awe mdau wa mpira au wachezaji wa zamani kama Drogba ,Eto'o ,Gaucho ,Okocha n.k.
 
Africa kila kitu Siasa

Shughuli za kidini, michezo na hata za burudani Mgeni wa Heshma lazima awe Mwanasiasa ila shughuli za Kisiasa Mgeni wa Heshma hawezi kuwa Kiongozi wa dini
 
Mtoa uzi hata kama Simba mwenzangu sikuungi mkono..kuna maisha baada ya kazi. Tuache siasa..hapo ameenda kama mwanamichezo na kwa taarifa yako kwa vile anavyoipenda Simba sioni shida.
 
Mkuu Simba ni klabu kubwa Afrika na duniani. Wewe kwanini unadhani Ndugai anafaa kuwa mgeni rasmi pamoja uchafu wake wote ule? Please explain briefly.
Mkuu wewe Yanga..usituharibie sherehe yetu .nenda kwenye maombolezo huko Nigeria.
 
Mtoa uzi hata kama Simba mwenzangu sikuungi mkono..kuna maisha baada ya kazi. Tuache siasa..hapo ameenda kama mwanamichezo na kwa taarifa yako kwa vile anavyoipenda Simba sioni shida.
Ccm huwa wanatesa sana

Sababu hujibadilibadili kama kinyonga

Wameingiza turufu yao ndugai kuipamba ccm yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…