Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Mtolopolonian umeamua kuvaa usimba ili upate masupporter wa kuikanyagia simba sio???
 
Ni kama Samata tu ,kacheza Genk ,Aston Villa ,fernabache ,Royal Antwerp lakini sasa hivi ukisema arudi kwenye vilabu vya bongo ana maajabu gani wakati hata kwa taifa stars tu ni mzigo
 
😆😆😆 Ww kula supu
 
Nani alikwambia kwamba SIMBA Sc imemsajili Saido?

Saido ni mfano wa wachezaji waliowahi kucheza ulaya ila hawajawapa mlichotarajia hapo Yanga Sc, na wote hao wanaletwa na Kaze (mzee wa 10%)
Kyombo na saido...?
 
Hivi kati ya huyo na Alexander Song,nani kakinukisha kwa kiwango cha juu ?
Unajua Alexander Song anachezea ligi gani kwa sasa ? Klabu yake hata makundi Afrika haitoboi
Kumbuka mtu mmoja Hawezi kuibeba timu kushinda.....u need additional quality players

That's y inaitwa TEAM
 
Usije kuta unaandika text hii upo kwa dada yako huku nasubiri ugali
 
Wanayanga tutulie,
Maana kubishana na Kolos ni kuooteza rasilimali muda, tusubiri ligi ianze itajulikana nani ni moto nani ni mdebwedo.

Tofauti na wao sisi tunaimarisha kikosi wao wanajenga kikosi
Mkuu...umeona Azam wanachokifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…