Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Simba: Kwa sajili hizi, msimu ujao tusiingize timu uwanjani

Mtolopolonian umeamua kuvaa usimba ili upate masupporter wa kuikanyagia simba sio???
 
Kwa huyu sioni lolote la maana, wengi tu mtakuja kumkataa nyinyi subirini ligi ianze, yani sioni atamweka nani benchi pale maana waliopo wana viwango far better kuliko yeye.

Hapa ni kama mmesajili mchezaji wa ndani tu, unless muwe mnafurahia profile yake.
Ni kama Samata tu ,kacheza Genk ,Aston Villa ,fernabache ,Royal Antwerp lakini sasa hivi ukisema arudi kwenye vilabu vya bongo ana maajabu gani wakati hata kwa taifa stars tu ni mzigo
 
Mtu alistaafu mpira zamani akaanza kubeba box mnamsumbua tu kumleta tena uwanjani[emoji1][emoji1]
FB_IMG_1657444327274.jpg
 
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
😆😆😆 Ww kula supu
 
Nani alikwambia kwamba SIMBA Sc imemsajili Saido?

Saido ni mfano wa wachezaji waliowahi kucheza ulaya ila hawajawapa mlichotarajia hapo Yanga Sc, na wote hao wanaletwa na Kaze (mzee wa 10%)
Kyombo na saido...?
 
Hivi kati ya huyo na Alexander Song,nani kakinukisha kwa kiwango cha juu ?
Unajua Alexander Song anachezea ligi gani kwa sasa ? Klabu yake hata makundi Afrika haitoboi
Kumbuka mtu mmoja Hawezi kuibeba timu kushinda.....u need additional quality players

That's y inaitwa TEAM
 
Nawakumbusha vijana, wakati mnashinda mitandaoni kuendekeza ushabiki maandazi, hakikisheni mnapambana uchumi wenu binafsi pia unakua!!

sio mnashinda mitandaoni kushabikia timu huku mko jobless!!

Mleta mada anaandika ligue badala ya league!! Unaweza unaona mleta mada ni design gani ya kijana!!!!!
Usije kuta unaandika text hii upo kwa dada yako huku nasubiri ugali
 
Wanayanga tutulie,
Maana kubishana na Kolos ni kuooteza rasilimali muda, tusubiri ligi ianze itajulikana nani ni moto nani ni mdebwedo.

Tofauti na wao sisi tunaimarisha kikosi wao wanajenga kikosi
Mkuu...umeona Azam wanachokifanya?
 
Back
Top Bottom