Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahau hilo, hatuwezi kupoteza nafasi za wageni, kwa kusajili garasa kama hilo.Yupo kwenye mazungumzo kuhamia timu yenu ya Kolos.
Ni kama Samata tu ,kacheza Genk ,Aston Villa ,fernabache ,Royal Antwerp lakini sasa hivi ukisema arudi kwenye vilabu vya bongo ana maajabu gani wakati hata kwa taifa stars tu ni mzigoKwa huyu sioni lolote la maana, wengi tu mtakuja kumkataa nyinyi subirini ligi ianze, yani sioni atamweka nani benchi pale maana waliopo wana viwango far better kuliko yeye.
Hapa ni kama mmesajili mchezaji wa ndani tu, unless muwe mnafurahia profile yake.
😆😆😆 Ww kula supuNyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Kumbuka mtu mmoja Hawezi kuibeba timu kushinda.....u need additional quality playersHivi kati ya huyo na Alexander Song,nani kakinukisha kwa kiwango cha juu ?
Unajua Alexander Song anachezea ligi gani kwa sasa ? Klabu yake hata makundi Afrika haitoboi
Yaaaah mkuu....jitihada bado zinaendeleaMna ukubwa wa jina lakn hamn maajabu nje ya nchi ..badala ya miluzi mingi ambayo haina maana so kiongozi lazma ukubali kwamba bado mnasafar ndefu ya kuendeleza kuikuza hy brand kubwa unayoiongelea
Usije kuta unaandika text hii upo kwa dada yako huku nasubiri ugaliNawakumbusha vijana, wakati mnashinda mitandaoni kuendekeza ushabiki maandazi, hakikisheni mnapambana uchumi wenu binafsi pia unakua!!
sio mnashinda mitandaoni kushabikia timu huku mko jobless!!
Mleta mada anaandika ligue badala ya league!! Unaweza unaona mleta mada ni design gani ya kijana!!!!!
Mkuu...umeona Azam wanachokifanya?Wanayanga tutulie,
Maana kubishana na Kolos ni kuooteza rasilimali muda, tusubiri ligi ianze itajulikana nani ni moto nani ni mdebwedo.
Tofauti na wao sisi tunaimarisha kikosi wao wanajenga kikosi