Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnatakiwa kujua kuwa mpira una chezwa hadharani na kamwe vurugu zenu hazita wasaidia lazima mmfungwe
Simba au raia? Simba ipo kambini mkuu. Usiteseke sana. Kunywa maji kwa wingi na vuta pumzi nyingi kisha achia utarelax.
Umetumwa weweWasalaam..
Kwanza kabisa lazima tukubali mpira ni mchezo wa kistaarab na wa amani na wakudumisha mahusiano....na si vurugu na uhuni.
Simba wanakuwa wajinga na wahuni kuwazuia wenzao kufanya mazoezi na kuendelea kuwafanyia vurugu... Lakini lazima tujiulize je Simba walipo kwenda Congo walipokewaje? walifanyiwa kama wanayo yafanya dhidi ya Vita?
Simba wamegundua hawawezi kuwafunga Vita uwanjani?
Simba na uongozi kwanini mmejigeuza wajinga kiasi hiki?
Hivi mnajua mtakutana na Rungu la CAF kwa huu upuuzi?
Simba kwa mwendo huu inahitajika miujiza kushinda mechi ya leo maana kisaikolojia mmeshafungwa kabisa....
Mpira unachezwa uwanjani.
Yaani tangu paanze kuitwa Kwa Mkapa, basi ameshaona hapo pana ukada wa CCMuCCM umekufanya unazidi kuwa fala.
Aisee pole sanamnatakiwa kujua kuwa mpira una chezwa hadharani na kamwe vurugu zenu hazita wasaidia lazima mmfungwe
Juve kashinda nyumbaniMadrid kafa Nyumbani!
Bayern kafa Nyumbani!
PSG kafa Nyumbani!
Bongo ni nuksi tupu, ngoja niteseke na Chelsea yangu mamtoni lkn naamini kesho na kesho kutwa nitatudi kwenye form.
Sent using Jamii Forums mobile app