Simba kwaa huu ujinga na uhuni mnaofanya dhidi ya Vita lazima mfungwe na kupigwa fine.

Umetumwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Yanga na Vita wanatafuta huruma isiokuwepo ,wapi wamezuiwa kufanya mazoezi ,mfano kuna clip inazunguka wanadai wanapigwa mbona sijaona wakipigwa ,Vita wamekosea kuwa karibu na Yanga badala ya kuwàsaidia wamewajaza uoga
 
Uyo jamaa uCCM ushamuathir anataman aite police ccm wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…