Simba kwaa huu ujinga na uhuni mnaofanya dhidi ya Vita lazima mfungwe na kupigwa fine.

Watu wa Yanga na Vita wanatafuta huruma isiokuwepo ,wapi wamezuiwa kufanya mazoezi ,mfano kuna clip inazunguka wanadai wanapigwa mbona sijaona wakipigwa ,Vita wamekosea kuwa karibu na Yanga badala ya kuwàsaidia wamewajaza uoga

Mimi nilijua tu kuwa alichosema HAJJI MANARA ni sahihi juu ya MWINYI ZUHURA kuaga anakwenda Congo kumbe kaenda kwa As Vita kuandaa Fitna kama hizi.

Yule Zuhura anapakuliwa kweli sio bure!
 
Hueleweki jinsia ako, wewe jichungulie kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mshabiki wa CCM kipindi hiki kila kitu utafeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pimbi wa Misitu ya Kongo manina zako, bila shaka sasa hivi Makusu anakuhemea kisogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…