Simba kwaa huu ujinga na uhuni mnaofanya dhidi ya Vita lazima mfungwe na kupigwa fine.

Muda ulotumia kuandika hapa ungeenda kulima choroko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulidhani mambo ya jecha na nec?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwene mpra umechezwa chumbani nn kimoj cha nguruwe chaliiii ..kifo cha mende
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba walifanyia hivo hivo Congo,walizuia mashabiki wa Simba wakaruhusu benchi la ufundi,na wachezaji tu,Vita walipofika hapa Simba wakafanya hivo hivo samething.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza au bado unaimba taarab?
 
Mbona umeukimbia uzi wako mkuu?

Njoo huku utoe uchambuzi mkuu
 
Reactions: Tui
Fuatilia habari As Vita wenyewe wameshaomba msamaha kwa kitendo walichowafanyia waandishi wa habari na hawajasema Simba kawafanyia uhuni, hizo zako propaganda na kwa taarifa yako hadi simba kutusua robo finali nchi imepata points 15 ,ukiongezea za yanga kufika makundi shirikisho 3 jumla tuna points 18, jivunie Simba wewe acha mineno mbofu mbofu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba aitwe kuchukua Uzi wake ,tunaomba utupe muendelezo faini lini inakuja
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…