Umepanic brotherTatizo sio kuuza ramani ya vita,tatizo alipokwenda kuna mfumo sahihi wa kumpa senzo ufanisi wa majukumu yake.zaidi ya uswahili na janjajanja za viongozi wa yanga?
Vipi ukinunua ramani ya vita huku ukiwa na askari wapiganaji dhaifu, itasaidia lolote kumshinda adui? Nadhani jambo kubwa ni kuwa na kikosi kizuri cha wachezaji, baada ya hapo mipango ya CEO, kocha na management ndipo itaenda vizuriCEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita.
Si rahisi kiasi hicho...Halafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Aisee!Halafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Yeah, kuanzia msomali mwenyewe... ngoja nisije nikaharibu pichaAisee!
Jitu lao mwakalebelaHalafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Hamna uwezo wa kufanya hivyo . Muendelee kujifariji tu.Yeah, kuanzia msomali mwenyewe... ngoja nisije nikaharibu picha
[emoji3][emoji3]hizo akili za faruHalafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Hata Simba wameonesha immaturity ya hali ya juu, umechukua makombe matatu badala ya kuiwaza TP Mazembe, Mamelody au El Ahly bado wanawaza kushindana na Yanga.Tatizo sio kuuza ramani ya vita,tatizo alipokwenda kuna mfumo sahihi wa kumpa senzo ufanisi wa majukumu yake.zaidi ya uswahili na janjajanja za viongozi wa yanga?
Ni kweli kabisa kwa Simba angedumu kwavile kuna wazungu, warabu na wahindi wengi sanaSenzo hatadumu Yanga.. Waswahili wengi sana
Simba unafikir ni ccm?Halafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Kwani Chama akienda Yanga ndio watashiriki klabu bingwa Afrika?[emoji116]1532450[/ATTACH]