Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili yako vizuri,katika taasisi yoyote kinachoanza Ni uongozi imara na baadae timu inafuata.Kama management Ni mbovu Basi hata umsajiri Messi timu itayumba.Timu au kampuni zote kubwa unazoziona zinayumba Kwanza inakuwa Ni Ubovu katika utawala na so katika wafanyakazi.Vipi ukinunua ramani ya vita huku ukiwa na askari wapiganaji dhaifu, itasaidia lolote kumshinda adui? Nadhani jambo kubwa ni kuwa na kikosi kizuri cha wachezaji, baada ya hapo mipango ya CEO, kocha na management ndipo itaenda vizuri
Unaleta uswahili wenu alioukimbia CEOHalafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Hamna hela za kutuma watuHalafu mjue Simba sio wajinga, wana watu pale Yanga, na huyu naye amepelekwa kumaliza kazi
Atarudi Simba ambako Hamna uswahiliSenzo hatadumu Yanga.. Waswahili wengi sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli kabisa kwa Simba angedumu kwavile kuna wazungu, warabu na wahindi wengi sana
Ha ha ha haSimba unafikir ni ccm?
Mfano mzuri Barcelona ya sasa hivi inayumba kutokana na kuwa na uongozi mbovu.Tumia akili yako vizuri,katika taasisi yoyote kinachoanza Ni uongozi imara na baadae timu inafuata.Kama management Ni mbovu Basi hata umsajiri Messi timu itayumba.Timu au kampuni zote kubwa unazoziona zinayumba Kwanza inakuwa Ni Ubovu katika utawala na so katika wafanyakazi.
CEO wenu wa kutegemewa si ni Manara na mwenzake Makonda?Seems tulikuwa na contract ya ovyo na CEO, inawezekana kwa wachezaji ndio hovyo zaidi. How CEO ana resign kwa 24hrs notice? We are exposed!!!
Mbona mtendaji mkuu wa crdb katoka nmb? Mbumbumbu tulieni dawa iwaingie, mliona raha kumfitini bm33Wakuu,
Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?
CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.
Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!
How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
Wakuu,
Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?
CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.
Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!
How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
Kwenye ubongo wako kumejaa makamac. Let us waitTatizo sio kuuza ramani ya vita, tatizo alipokwenda kuna mfumo sahihi wa kumpa senzo ufanisi wa majukumu yake zaidi ya uswahili na janjajanja za viongozi wa yanga?
Tayari wapo; wengine kwa kuchaguliwa na wengine kwa kupitia udhaminiHamna hela za kutuma watu
Nasikia simba wamemsajili Tshishimbi kama ni kweli mo ni zaidi ya mswahili hivi ni kweli tunamhitaji , na ni kweli tunataka kushindana na tp mazembe unaachaje mchezaji kama Shibob, Rashid Juma unasajili mtu ambaye ni majeruhi na mpira wake ni wa kawaida mo atoe bilioni 20 aache usajili wa ovyoTatizo sio kuuza ramani ya vita, tatizo alipokwenda kuna mfumo sahihi wa kumpa senzo ufanisi wa majukumu yake zaidi ya uswahili na janjajanja za viongozi wa yanga?
Mo ni mpumbavu yule mtu alikuwa jikoni anaenda kuharibu kila kituSeems tulikuwa na contract ya ovyo na CEO, inawezekana kwa wachezaji ndio hovyo zaidi. How CEO ana resign kwa 24hrs notice? We are exposed!!!