Simba kwahili tumefanya uzembe

Simba kwahili tumefanya uzembe

Wakuu,

Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?

CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.

Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!

How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
Usiku kucha tunapitia pitia mafaili yenu,kwenye laptop ya mgeni.....tutarudi baadaye......
 
Hata Simba wameonesha immaturity ya hali ya juu, umechukua makombe matatu badala ya kuiwaza TP Mazembe, Mamelody au El Ahly bado wanawaza kushindana na Yanga.

Yanga hawana cha kupoteza, Simba wana cha kupoteza. Yanga wanaweza kuingia mkataba wa kimagumashi na Senzo wakiahidi kumlipa mshahara mkubwa kumbe wanaivuruga Simba tu, ndani ya miezi miwili wanashindwa kumlipa mshahara.

Simba ya akina Manara bado sana.
Mkuu heshima kwako, kushindana na akina Al ahly, Mamelody na Mazembe ni mchakato sio Jambo la overnight! Tunapoelekea timu za Tanzania zitafikia tu hatua hiyo.
 
Hawa akina Senzo wapo wengi duniani.Simba mafanikio yake hayajaletwa na Senzo ila senzo alikuja kuboresha mafanikio ya simba.Sema yanga wametugusa pabaya sana Sema kama akichanganya ushabiki katika taaluma yake ,itamletea tabu.
 
Mkuu heshima kwako, kushindana na akina Al ahly, Mamelody na Mazembe ni mchakato sio Jambo la overnight! Tunapoelekea timu za Tanzania zitafikia tu hatua hiyo.
Hajifunzi hata kwa PSG au City...anadhani ukishasajili tu basi unachukua kila Kombe...ni swala la muda experience ina matter kuliko usajili wa majina...ndo mana Bayern ni hatari kuliko PSG
 
Hii mpya kabisa katika soka letu kwa sababu tumezoea kuona kuwa watendaji wengi wa hivi vilabu vyetu vikubwa kwanza wanakuwa na mashabiki/ wanachama na halafu ndio wanakuwa watendaji/wafanyakazi. Kwa hili la Senzo naona sasa kuna kitu cha kujifunza kwa hizi timu zetu na hasa mikataba yao.
 
Hata Simba wameonesha immaturity ya hali ya juu, umechukua makombe matatu badala ya kuiwaza TP Mazembe, Mamelody au El Ahly bado wanawaza kushindana na Yanga.

Yanga hawana cha kupoteza, Simba wana cha kupoteza. Yanga wanaweza kuingia mkataba wa kimagumashi na Senzo wakiahidi kumlipa mshahara mkubwa kumbe wanaivuruga Simba tu, ndani ya miezi miwili wanashindwa kumlipa mshahara.

Simba ya akina Manara bado sana.
Unachosema ni sahihi hata kama wewe ni Upotolo....Menejiment ya Soka bado kabisa !
Hapa tunachezewa akili....Mkianza kukomoana kama hivini Hatari !
Simba walifikiri Yanga ni wajinga wa kiwango hicho...Kumbuka GSM ana malengo yake Kibiashara ,hawezi acha mashabiki wa Yanga waendelee kuwa wan'onge ,hili likitokea yeye atakosa Uhalali wa kuendelea kuwepo pale ! Kwa hiyo anaweza kufanya chochote ili kulinda maslahi yake!
Mfano anaweza kumlipa CEO wa Simba Mshahara hata mara tatu ,atakaa Mwaka mmoja anataengenezewa zengwe anatimuliwa! Maisha yanaendelea!
Sisi washabiki tutanuna,tutashangilia ,tutacheka ,tutalia ...Watu Wanapiga!
Kwa wachezaji wajanja na wapigaji ,...wasiona mbele,hii ni fursa ,...Kuna watu walishaitumia...Kaseja,Okwi,Yondani,nk.Huko nyuma kuna Mogella,Lunyamila,Victor Costa,na wengineo1
Bahati mbaya kwa Timu yetu kipenzi ,Simba ...haijawahi nufaika sana na ujinga huu....mfano Niyonzima,Ajib,Gadiel,Lunyamila!
 
tafuta CV yake google ipo.

the highest position yake NMB head Retail - business
1597060554938.png
 
Wakuu,

Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?

CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.

Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!

How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
Hakuna ramani yoyote hapo
 
Nasikia simba wamemsajili Tshishimbi kama ni kweli mo ni zaidi ya mswahili hivi ni kweli tunamhitaji , na ni kweli tunataka kushindana na tp mazembe unaachaje mchezaji kama Shibob, Rashid Juma unasajili mtu ambaye ni majeruhi na mpira wake ni wa kawaida mo atoe bilioni 20 aache usajili wa ovyo
Kwani Mo ndo anasajiri wachezaji?
 
Huyu Nsekela huyu alikuwa CEO NMB? NMB ya wapi?
Policy ya NMB CEO lazima atoke kwa main shareholder (Wadutch) policy ingeruhusu mswahili Nsekela angekuwa CEO ndio maana baada ya Dr Kimei kustaafu CRDB alimpendekeza Nsekela awe CEO na bodi ikampa hicho cheo

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom