Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ni kinyume chake, anaenda kuleta ya jiko la kuleMo ni mpumbavu yule mtu alikuwa jikoni anaenda kuharibu kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kinyume chake, anaenda kuleta ya jiko la kuleMo ni mpumbavu yule mtu alikuwa jikoni anaenda kuharibu kila kitu
Usiku kucha tunapitia pitia mafaili yenu,kwenye laptop ya mgeni.....tutarudi baadaye......Wakuu,
Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?
CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.
Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!
How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
CEO ni title tu pale,how timu inasajili mchezaji (Morrison) bila approval ya CEOHow CEO kuresign 24hrs?
Mkuu heshima kwako, kushindana na akina Al ahly, Mamelody na Mazembe ni mchakato sio Jambo la overnight! Tunapoelekea timu za Tanzania zitafikia tu hatua hiyo.Hata Simba wameonesha immaturity ya hali ya juu, umechukua makombe matatu badala ya kuiwaza TP Mazembe, Mamelody au El Ahly bado wanawaza kushindana na Yanga.
Yanga hawana cha kupoteza, Simba wana cha kupoteza. Yanga wanaweza kuingia mkataba wa kimagumashi na Senzo wakiahidi kumlipa mshahara mkubwa kumbe wanaivuruga Simba tu, ndani ya miezi miwili wanashindwa kumlipa mshahara.
Simba ya akina Manara bado sana.
Hajifunzi hata kwa PSG au City...anadhani ukishasajili tu basi unachukua kila Kombe...ni swala la muda experience ina matter kuliko usajili wa majina...ndo mana Bayern ni hatari kuliko PSGMkuu heshima kwako, kushindana na akina Al ahly, Mamelody na Mazembe ni mchakato sio Jambo la overnight! Tunapoelekea timu za Tanzania zitafikia tu hatua hiyo.
Kama aliweza kukaa 5imba na Waswahili wawili Manara na Muddy sidhani kama atashindwa Yanga.[emoji3][emoji3]hizo akili za faru
Imeisha hiyo.
NB:
CEO wa CRDB wa sasa alikua ni CEO wa NMB.
tafuta CV yake google ipo.Huyu Nsekela huyu alikuwa CEO NMB? NMB ya wapi?
Unachosema ni sahihi hata kama wewe ni Upotolo....Menejiment ya Soka bado kabisa !Hata Simba wameonesha immaturity ya hali ya juu, umechukua makombe matatu badala ya kuiwaza TP Mazembe, Mamelody au El Ahly bado wanawaza kushindana na Yanga.
Yanga hawana cha kupoteza, Simba wana cha kupoteza. Yanga wanaweza kuingia mkataba wa kimagumashi na Senzo wakiahidi kumlipa mshahara mkubwa kumbe wanaivuruga Simba tu, ndani ya miezi miwili wanashindwa kumlipa mshahara.
Simba ya akina Manara bado sana.
tafuta CV yake google ipo.
Hakuna ramani yoyote hapoWakuu,
Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?
CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.
Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!
How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
Kwani Mo ndo anasajiri wachezaji?Nasikia simba wamemsajili Tshishimbi kama ni kweli mo ni zaidi ya mswahili hivi ni kweli tunamhitaji , na ni kweli tunataka kushindana na tp mazembe unaachaje mchezaji kama Shibob, Rashid Juma unasajili mtu ambaye ni majeruhi na mpira wake ni wa kawaida mo atoe bilioni 20 aache usajili wa ovyo
Policy ya NMB CEO lazima atoke kwa main shareholder (Wadutch) policy ingeruhusu mswahili Nsekela angekuwa CEO ndio maana baada ya Dr Kimei kustaafu CRDB alimpendekeza Nsekela awe CEO na bodi ikampa hicho cheoHuyu Nsekela huyu alikuwa CEO NMB? NMB ya wapi?
NMB hakua CEO kakatafuta CV yake google ipo.
Hakuwa CEO , acha kupotosha.Imeisha hiyo.
NB:
CEO wa CRDB wa sasa alikua ni CEO wa NMB.
Sasa kwa nini alipwe mshahara mkubwa kuliko mchezaji? Jinga kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16]MUACHE AENDE.
ameikuta simba na ameiacha wanaocheza mpira ni wachezaji sio CEO.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app