Simba kwahili tumefanya uzembe

Simba kwahili tumefanya uzembe

Leo tunalala na viatu ....
 
Vipi ukinunua ramani ya vita huku ukiwa na askari wapiganaji dhaifu, itasaidia lolote kumshinda adui? Nadhani jambo kubwa ni kuwa na kikosi kizuri cha wachezaji, baada ya hapo mipango ya CEO, kocha na management ndipo itaenda vizuri
Tumia akili yako vizuri,katika taasisi yoyote kinachoanza Ni uongozi imara na baadae timu inafuata.Kama management Ni mbovu Basi hata umsajiri Messi timu itayumba.Timu au kampuni zote kubwa unazoziona zinayumba Kwanza inakuwa Ni Ubovu katika utawala na so katika wafanyakazi.
 
Mfano mzuri Barcelona ya sasa hivi inayumba kutokana na kuwa na uongozi mbovu.
 
Wakuu,

Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?

CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.

Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!

How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
Mbona mtendaji mkuu wa crdb katoka nmb? Mbumbumbu tulieni dawa iwaingie, mliona raha kumfitini bm33
 
Kama ameshindwa mahali walipokuwa tayari kupokea uongozi wake,ataweza kwenye mazingira ya kutembeza bakuli?

Yanga walivyo na mifumo ya kiswahili hawezi kumaliza hata miezi 6.Mark my words
Wakuu,

Tatizo sio Senzo kuondoka bali ramani za vita. How mkataba wa Senzo haukuwa na kipengele cha kuzuia kujiunga na wapinzani wa Simba walau 3 years baada ya kuondoka?

CEOs huwa wanabanwa na mikataba kuhamia kwa washindani kuepusha kuuza ramani za vita. Ndio maana huwezi kuta CEO wa NMB anaenda CRDB.

Wanasimba tufahamu kwa sasa tupo exposed! Kuna uzembe tulifanya na sasa Hopefully management wanachange strategies haraka na within short time wawe na mpya! Hii ni issue!

How CEO ana resign 24 hrs bila hata handover na kwenda kwa mshindani wenu mkuu? Extremly poor contract!
 
Tunawaza kushindana na mamelod sundowns, Tp mazembe sio utopolo senzo chukueni ngoja tulete kocha ili afanye kazi
 
Timu hizi zinaendeshwa kiujanja ujanja sana,ujuaji mwingiii kumbe hamna kitu.huko kwenyenyewe amekwenda kusaini mkataba wa ujanja ujanja tu
 
Tatizo sio kuuza ramani ya vita, tatizo alipokwenda kuna mfumo sahihi wa kumpa senzo ufanisi wa majukumu yake zaidi ya uswahili na janjajanja za viongozi wa yanga?
Nasikia simba wamemsajili Tshishimbi kama ni kweli mo ni zaidi ya mswahili hivi ni kweli tunamhitaji , na ni kweli tunataka kushindana na tp mazembe unaachaje mchezaji kama Shibob, Rashid Juma unasajili mtu ambaye ni majeruhi na mpira wake ni wa kawaida mo atoe bilioni 20 aache usajili wa ovyo
 
Back
Top Bottom