Simba kwanini tunashindana na Yanga?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kihistoria tumewapiga mabao hawezi kurudisha hadi leo.

Kimataifa tumewapita karibia zaidi ya timu 80 wako nyuma yetu.

Hawana uwanja ila Simba wana Mo Arena.

Mikataba ikisainiwa mtasema tunafoji figures.

Senzo katoka Simba kaoneka a keki Yanga

Manara aliyewatuna wote hamna akili isipkuwa baba yake na Kikwete mmepokea mikono miwili,kapigwa ban hadi mnaadamana awe free mtu aliyewatunakana miaka 4.

HOJA IKO HAPA.

1. Rudisheni magoli mengi tuliyowafunga.

2. Mtu kutoka Simba kwetu kwenu star.

3. Gap ya kimataifa isiwe tunawapita kwa viabu 80 au zaidi angalu 2.

4. Kuweni na uwanja wenu sio wa vumbi angalau siyo mnacheza uani kwa mtu.
 
Hata mimi nashangaa 110%

Hawa jamaa ndio wanatudumaza, otherwise tungekuwa tumeshachukua taji la Klabu Bingwa Afrika miaka mingi iliyopita.
 
Tarehe 13 inazidi kuakribia.........! Dalili za hofu tayari zimeshaanza.
 
Utopolo ni Utopolo tu, tuwaache waweweseke kuhusu simba ili mioyo yao itulie.
 
Hata mimi nashangaa 110%

Hawa jamaa ndio wanatudumaza, otherwise tungekuwa tumeshachukua taji la Klabu Bingwa Afrika miaka mingi iliyopita.
Wasumbufu kishenzi , na hizo hoja hamna wa kujibu
 
Tatizo la Simba maneno ni mengi kupita kiasi uswahili ni mwingi mno.
 
wakati Simba mechi zao ngumu zote wanashinda,Uto wao mechi ngumu wanajinyea.
 
Nakujibu hoja moja moja

1. Mechi ya Simba goli tano ilikuwa nadhani ni 2012 kulikuwa na mgogoro na mpasuko mkubwa Yanga asili na Yanga kampuni na usiku wa kuamkia mechi mimi nilitazama ITV saa mbili taarifa ya habari Mzee Akilimali alihojiwa na waandishi wa habari akaongea kwa hasira sana akavua kofia akaweka juu ya meza akasema tutaona kesho nani mkubwa Yanga. Simba msijifu hamkushinda ile mechi kihalali hebu tufungeni tena 5 mkiweza nahamia Kolo FC japo inaongozwa na demu na kabati lenu la kuweka makombe limejaa vumbi!! hujui kuhusu ule mchezo ulikuwa mdogo au hujazaliwa!

2. Simba imechukua wengi toka Yanga kuja kuwa mastaa Gadiel, Niyonzima, Morrison etc. hoja dhaifu

3.Gap la kimataifa miaka minne ya juzi juzi tu miaka ya nyuma hujui! Halafu tutabeba Kombe la CAF katika ufalme wa Prof Nabi na kwa pigo moja tu takatifu tutafuta rekodi zote za Simba za miaka minne za kurukaruka na kuishia njiani!! Simba ni timu mbovu tu kimeo eti inashinda 2-0 ugenini na kuja kupasuliwa kwao wanakodai Mkapa hatoki mtu wakabamizwa 3-0 na timu underdog Galaxy imeanzishwa mwaka 2000!

4. Uwanja ni mipango ya timu Eng Hersi anakuja na uwanja wa Yanga ulio na ramani ya Santiago Bernabeu mtamuweza wapi?

Sema jingine!!
 
Mgogoro wenu hautuhusu ni nye wenyewe,

Kimataifa Simba ina points 28 Yanga Ina 0.5 wanazudiwa hadi na Namungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…