Simba kwanini tunashindana na Yanga?

Mgogoro wenu hautuhusu ni nye wenyewe,

Kimataifa Simba ina points 28 Yanga Ina 0.5 wanazudiwa hadi na Namungo

Kuhusu uwanja mmekalia maneno hatuoni vitendo
 
Vikombe 28 Vya Yanga ndivyo vinavyomfanya Simba ashindane na Yanga. Mambo ya rank za CAF kama ni Kombe, au udhamini mkubwa kama ni Kombe basi mko vizuri ndugu mbumbumbu.
 
Hofu itoke wapi hamna hata historia ya kutufunga mengi ,imebaki 1-0 mnapambana
Mlikula 5-0,Tena hapo baada ya kuruhusiwa mchezaji wenu aliyefungiwa kwa utovu wa nidhamu acheze
 
simba mmetokana na Yanga bila Yanga nyie hampo na si lolote si chochote

Hebu heshimuni chimbuko lenu Yanga ni mzazi wenu hamna haja ya kuahindana na Baba Yako

Tutawalaani mjifie
 
Kwa wale akina joyce ndyo mbebe kombe la Caf???hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana
 
MSHABIKI WA YANGA HAINA HAJA YA KUZOZANA NA HAWA WANAOONGEA SANA
 
Heading ilitakiwa iwe,"Yanga kwanini mnashindana na Simba?"
 
Kushindana na utopolo kwa maneno ni matumizi mabaya ya mdomo. Tulishaambiwa wenye akili utopoloni ni wawili tu (Kikwete na Sunday Manara)

Sasa sijui kwanini huwa tunapoteza muda wetu mwingi kubishana na hawa watu.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Vikombe 28 Vya Yanga ndivyo vinavyomfanya Simba ashindane na Yanga. Mambo ya rank za CAF kama ni Kombe, au udhamini mkubwa kama ni Kombe basi mko vizuri ndugu mbumbumbu.
Umeandika haya kwa akili yako au umeandika mwiko ukiwa umechomekwa nyuma na unanuka kinyesi
 
1978 goli 6 ,0 kulikuwa na mgogoro gani ?

2020/2021 ASFC goli 4, 1 kulikuwa na mgogoro ?

1996 goli 4, 1 kulikuwa na mgogoro gani?



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…