SIMBA leo anashinda

SIMBA leo anashinda

Leo tutafia uwanjan mkuu nusu fainal tuione[emoji41]
Pia napend kutoa pongez kwak mkuu maan umeonesh uzalendo sio kam wala mihogo wengne.
#nguvu moja.
Hii dalili nakuambia simba anafunga goli moja la ugenini
 
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..

Ukishtuka godoro lote limejaa maji
 
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Rage apewe Tuzo... Sasa hapo ndo umeandika udwanzi gani?
 
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Nguvu moja.
 
Back
Top Bottom