SIMBA leo anashinda

SIMBA leo anashinda

Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Labda washinde na Pascali
 
Vipi mleta mada bado yupo [emoji81][emoji81][emoji81] au tumsakanyue huko alipo
 
Hawa jamaa walishakufa sema ujinga wa wachezaji ndo umekwamisha
 
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...

Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..

Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..

Mkeka umechanika
 
Back
Top Bottom