Hii dalili nakuambia simba anafunga goli moja la ugeniniLeo tutafia uwanjan mkuu nusu fainal tuione[emoji41]
Pia napend kutoa pongez kwak mkuu maan umeonesh uzalendo sio kam wala mihogo wengne.
#nguvu moja.
Goli 1 la ugeniniInashinda njaa ama nini?
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
1Ukishtuka godoro lote limejaa maji
Rage apewe Tuzo... Sasa hapo ndo umeandika udwanzi gani?Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Sio nimeona ndotoniKwa sababu Mvua imenyesha??😂
Hata Ally wa man u. Japo wote wapo timu zenye heshima kubwa hawachezi mechi za waliofeli.Onyango yupo msijali atawashindisha Kama kawaida yake..[emoji1787]
Kwa ben ilikuwa njaaa au goli?Mnaweza kushinda na njaa ila siyo mechi
Nguvu moja.Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Kifungua kinywa tu jikoni, nenda dining room ukale ushibe
Sawa ndugu.Kifungua kinywa tu jikoni, nenda dining room ukale ushibe
Anae vaa tai anaweza shinda njaa? Tuzungumzie vibandiko na bakora hapo njaa usiombe.Labda anashinda njaa
Nakubaliana na weweHabari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Guvu moya moya 🦁🦁🦁Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Mkuu leo tutawafung midomo wala mihogo hum ndan maan wanapig xan kelele.Hii dalili nakuambia simba anafunga goli moja la ugenini